Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile?
Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka.
Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
Mimi nakumbuka familia yetu wazazi hawakuwa strict sana kivile kiasi cha kuogopwa na watoto. Ila kuna Sheria 3 kuu ambazo watoto hasa wa kiume ilibidi tuzifate na kuzitii kama tulihitaji kuendelea kuishi kwa amani na utekelezaji wake ulikuwa unasimamiwa kwa hali ya juu sana.
1. Hakuna kula kama...
YES, kwa vigezo vyovyote, hawa wasanii wawili, Konde Boy na Ran Vany, ni watoto. Sio kiumri pekee, lakini hata kimuziki.
Katika umri, ni daraja moja na watoto weeeengi waliopo Bongo Fleva hivi sasa, ambao nyakati zinawabeba kwa sababu ya mitandao ya kijamii na tofauti na kaka zao, wana hawana...
Wanabodi,
Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.