YES, kwa vigezo vyovyote, hawa wasanii wawili, Konde Boy na Ran Vany, ni watoto. Sio kiumri pekee, lakini hata kimuziki.
Katika umri, ni daraja moja na watoto weeeengi waliopo Bongo Fleva hivi sasa, ambao nyakati zinawabeba kwa sababu ya mitandao ya kijamii na tofauti na kaka zao, wana hawana...