Viajana wengi wana mawazo ya CCM iwasaidie sio wao waisaidie CCM, ndio maana unakuta wanajiunga wengi na akibaatika kupata nafasi atapiga hela, yaani hata ngazi za chini wanaiba hata hela ya kadi.
Anawaza kuwa nikimaliza nitaajiriwa au connection ya ajira nitaipata kupitia chama. Hana mchango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.