uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Chongolo Aonya "Uchawa" na Maslahi Binafsi UVCCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameuonya Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) dhidi ya kukubali kuwa sehemu ya kubeba maslahi binafsi ya wat wachache. Chongolo alitoa onyo hilo lipohutubia wajumbe wa Baraza KUu la umoja huo, akisema CCM inategemea vijana hao kutumia...
  2. Q

    Ukimya wa UVCCM kwenye mkataba wa Bandari ni uzalendo au kulinda maslahi?

    Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hawa vijana wakijitokeza haraka kutetea au kufanya maandamano kupongeza kunapotokea sintofahamu hasa yanapoguswa maslahi ya serikali ya CCM na viongozi wao wakuu, lakini tofauti na sasa ukitoa tamko la Mwenyekiti wao Kawaida sijawasikia au kuwaona wakiandamana mkoa...
  3. M

    Salim Asas tambua kuwa wengi wa UVCCM hawafurahii mnavyouza nchi. Wanaofaidi ni wachache, hawawezi kutetea ufisadi

    Usilazimishe watetee uovu. ---- MNEC SALIM ASAS ATAKA VIJANA KUVUNJA UKIMYA KUJIBU HOJA ZA WAPOTOSHAJI MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas ameushangaa ukimya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kutetea viongozi na mipango mbalimbali ya maendeleo inayofanywa...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti UVCCM Taifa Kawaida: Wapuuzeni Wanaopotosha Mkataba wa Bandari

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida, amesema kupitia ushirikiano ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania katika maeneo ya bandari, utasaidia kuondoa changamoto za gharama na ufanisi wa bandari ya Dar es salaam, unaopelekea wafanyabiashara kupitisha...
  5. and 300

    UVCCM tusikae kimya

    Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
  6. Mmawia

    UVCCM kuingiza siasa kwenye msiba wa Mkono ni ubaguzi

    Ukweli lazima usemwe tu popote pale. Kitendo cha uvccm kushiriki mapokezi ya mwili wa marehemu Mkono wakiwa na jezi zao cha chama cha mapinduzi ni dallili tosha za kibaguzi kwenye jamii ya watanzania waliostaarabika. Mtu akisha kufa anakua amejitoa rasmi kwenye mambo ya kidunia ikiwemo mambo...
  7. S

    Tathmini ya ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

    [emoji625] UVCCM - TAIFA [emoji2783] 23 Mei, 2023. Dodoma. [emoji288] EDNA NA WAANDISHI WA HABARI Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Ndugu. Edna Lameck amefanya mazungumzo na Waandishi wa habari kwa lengo la kutoa tathimini ya Ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa Ndugu...
  8. Mtuturas

    Bashe deal na Wakulima na sio Majobless wa UVCCM

    Yaani badala ya kudeal na kuwaboreshea wakulima waliopo kwenye mazingira ya ukulima, yeye ameamua kwenda kuokoteza majobless waliojipachika UVCCM na kuwalazimishia kwenye ukulima kwa gharama za serikali. Sawa jamii inakuona na imekuelewa. Ila tambua unachokifanya ni matumizi mabaya ya raslimali...
  9. peno hasegawa

    UVCCM Waliojiunga na mafunzo ya mradi wa jenga kesho iliyo bora (BBT) tukutane hapa

    Karibuni!!!
  10. B

    UVCCM Songwe yatia neno mikopo ya Vijana kusitishwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Songwe Ndg Fatuma Hussein amewatoa hofu vijana kutokana na serikali kusitisha utoaji wa mikopo ya 10% iliyokuwa ikitolewa katika ngazi za Halmashauri. Fatuma ameleza kuwa kama UVCCM wanaamini kuwa serikali itakuja na mpango bora zaidi wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    UVCCM Yataka Udahili wa Vijana BBT Uongezeke

    UVCCM YATAKA UDAHILI WA VIJANA BBT UONGEZEKE Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Ndugu Mohammed Ali Mohammed (Kawaida) ametaka juhudi ziongezwe kuhakikisha idadi ya wanaodahiliwa katika mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) kila muhula inaongezeka. Ndugu Kawaida ametoa kauli hiyo...
  12. Almalik mokiwa

    UVCCM ninyi ni watu huru, acheni uchawa. Mnatuharibia Nchi yetu

    UVCCM ni umoja uliowekwa na kulelewa katika misingi ya kuimba mapambio ya kusifu na kutukuza watawala hata pale pasipo stahili sifa. ACHENI. Anaandika Almaliki Mokiwa. Tuweke mkazo katika kuifahamisha jamii juu ya ujio wa hiki kirusi kipya kinacho itafuna nchi yetu taratibu kinachoishi chini...
  13. scatter

    UVCCM ya Sasa hi Bora mkono uende kinywani

    Kwa tunapoelekea umoja wa vijana unaongoza vijana wa chama tawala utageuka kuwa bendera fuata upepo ..yaani ule ushauri wa dhati kwenye maslahi ya vijana nchini morali yake ipo chini sana ,majuzi zimeibuka skendo za ubadhirifu wa fedha za umma hakuna anayetoa neno. Msingi wa umoja wa vijana...
  14. Pac the Don

    Kwanini uvccm wamejificha kujadili report ya CAG?

    Yaani mpaka mwadawa mtoto wa hayati Bob analia kuhusu ufisadi lkn uvccm wala hawana habari!!
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Dkt. Ritta Kabati ayapa nguvu mashindano ya soka ya UVCCM Iringa, aahidi kuanzisha "Mama Samia Cup"

    MBUNGE DKT. RITTA KABATI AYAPA NGUVU MASHINDANO YA SOKA YA UVCCM IRINGA, AAHIDI KUANZISHA "MAMA SAMIA CUP" Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa (CCM), Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kuanzisha mashindano yatakayojulikana kwa jina la Samia Cup kuenzi kazi nzuri zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya...
  16. peno hasegawa

    Diwani wa CCM kata ya Masama Kusini jimbo la Hai amenyang'anywa gari na UVCCM jimbo la Hai na limehifadhiwa ofisi ya CCM wilaya

    Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai. Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya. Katibu wa CCM wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
  17. R

    Huyu Mwenyekiti wa UVCCM mbona kama vijana wamepigwa?

    Huyu Mwenyekiti wa UVCCM NI kweli alijenga hoja akachaguliwa na wapiga Kura au alipitoshwa? Nimemsikiliza anazungumza jukwaani Dodoma, nikamsikiliza anaanza kusema anataka amfundishe Dr. Slaa kujenga hoja, najiuliza MTU anayetembea ameandika vitu vyakusema kwenye hotuba yake anaweza mfundisha...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Waovu husutwa na dhamiri zao. Wimbo huu ulipigwa marufuku na UVCCM. Je, uliwaudhi nini?

    BOMOA TUTAJENGA KESHO WOTE- Bomoae Bomoae Bomoa mama tutajenga kesho imaa, Tujajenga kesho imaa x2 JENIFA NDESILE-Imaao enyi watoto wazuri wote, njoni tucheze leo bomoa WOTE- Bomoae Bomoae Bomoa mama tutajenga kesho imaa, Tutajenga kesho imaaa ASSOSSA- O betu bayai yoyoyo bomoa WOTE- Bomoae...
  19. R

    Wapenzi wa Siasa za Hoja tunaingia. Hatutaki ugomvi na mtu. Rais Samia aliwapa onyo UVCCM juzi

    Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia. Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji, jasiri, mwelevi yule aliyetabiriwa na Mwl Nyerere. Sio mjeuri wa jinai bali wa akili, itikadi, mpenzi...
  20. K

    Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

    Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja. "Zama za...
Back
Top Bottom