Na. Beatus Maganja
Kamati ya kudumu ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa kwake na utekelezaji wa miradi ya mpango wa Taifa wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 iliyotekelezwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ndani ya Pori...
Wizara ya Afya imekuwa ikifanya ufuatiliaji wa taarifa za magonjwa ya mlipuko ikiwa ni pamoja na tetesi za kuwepo kwa magonjwa hayo ndani na nje ya nchi. Katika kipindi cha kuanzia mwezi Novemba, 2023 kumekuwa na tetesi juu ya ongezeko la visa vya magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa sehemu...
Yale machanjo yetu tuliyopewa zawadi na mabeberu bado yapo?
Siyasikii kabisa siku hizi kama hapo awali kwa jinsi yalivyokuwa yanapigiwa chapuo la mwendokasi.
Nasikia kulikuwa na mafurushi kadhaa ya chanjo. Sijui ni mafurushi ama makapu, lakini naamini hayo machanjo yalijazwa kwenye kapu fulani...
Mfuko wa Utafiti wa UVIKO-19 wa Amne Salim:
Jumla ya tafiti nane zimeweza kuzalishwa na watafiti mbalimbali kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) kufuatia ufadhili uliotolewa na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Salim Ahmed Salim uliolenga kuenzi kifo cha mke...
Nimekutana na habari hii hapa jamvini,
Ndugu zangu, mabibi na mabwana, vijana na watoto, "Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'sacrifice' maisha yangu kwa ajili ya Watanzania maskini."
Hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Raisi wa Tanzania mpendwa...
Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima?
Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko?
Tupe majibu watanzania
Kelele kibao na kejeli.
Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe?
Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi?
Pesa za uviko zilijenga madarasa na mkatuambia yanatosheleza.
Sasa kwa nini udokoe bil 124 nje ya bajeti?
Nimekuwa nikifuatilia mitandaoni ambako taarifa za hali ya UVIKO huko china imekuwa ya kutisha. Yaonekana kuwa kuna vifo vingi, wagonjwa wengi to the tune of having no space in hospitals, having no support facilities na taabu nyingine nyingi. Najaribu kujiuliza, sisi tumejiandaa namna gani na...
Uamuzi huo umefikiwa baada ya China kutangaza kufungua mipaka yake kuanzia wiki ijayo, maamuzi kama ya Marekani pia yamefanywa katika Nchi nyingine zikiwemo Italia, Japan, Malaysia, Taiwan na India.
Baada ya takribani miaka mitatu ya vizuizi, China inatarajiwa kuruhusu wasafiri kusafiri kwa...
Waziri Ndalichako ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufanya uchunguzi katika chuo hicho kuangalia matumizi ya zaidi ya Sh. milioni 800 zilizotolewa kwa ajili ya ukarabati wa chuo.
Ubadhirifu alioubaini ni katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi ambavyo vimenunuliwa kwa...
Habari, wakuu.
Nimepata chanjo ya corona tarehe 15 mwezi huu pale hospitali ya bukoba government hospital. Sasa nimpewa cheti cha kawaida ambacho sio cha kidigitali.. nimeambiwa mtandao unasumbua hvo nsubirie kidogo ntatumiwa sms ya uthibitisho kuwa nimechanja pamoja na link ya kudownload hicho...
JINSI HALI YA UVIKO 19 ILIVYO LETA ATHARI KATIKA UPATIKANAJI, UTUNZAJI NA UZALISHAJI WA CHAKULA.
UTANGULIZI
UVIKO 19 ni ugonjwa ulio anza kusambaa mwishoni mwamwaka 2019, ukianzia huko nchini CHINA katika jimbo la WUHAN. Ugonjwa huu unaushisha dalili mbalimbali ikiwepokupumua kwa shida, mafua...
Waziri Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa UVIKO19 bado upo na namna nzuri ya kuepuka maradhi hayo ni kupata chanjo hivyo ametoa wito kwa wananchi kupata chanjo ambazo zinaendelea kugawiwa bure.
Waziri amesema hayo katika ziara ya Rais Samia Mkoani Njombe ambapo amesema siku ya Jumamosi, Agost 13...
Kwa mwezi mzima napokea SMS 10 hadi 15 kwenye simu yangu kwa siku zinazosomeka hivi:
" ndugu Shitunguru Bunzali Joseph Umefanikiwa kupata chanjo ya UVIKO- Janssen. Unaweza kuangalia cheti chako cha electronic kupitia link..."
Jumbe hizi zinatumwa kutoka kwenye namba 199, pia majina ya mtu...
Rais wa Marekani bwana Joe Biden amepimwa na kupatikana na virusi vya korona
Joe Biden mzee mwenye umri wa miaka 79 aliyepata chanjo kamili ya covid 19 kwa sasa amejitenga katika Ikulu ya white house huku akiendelea na majukumu yake ya siku zote
---
Joe Biden test positive for COVID-19
United...
Habari za asubuhi
Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa?
Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa...
Ilikua vigumu sana kwa watu wengi kuelewa uamuzi uliochukuliwa na Rais Samia Suluhu juu ya fedha za mkopo zilizotolewa na IMF za mapambano dhidi ya Uviko-19 baada ya kuzipeleka kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini badala ya kununua vifaa vya kujikinga na janga hilo.
Fedha hizo shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.