17 July 2021
Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania
Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19...
UMASKINI NA UVIKO-19 (COVID -19)
Athari za janga hili kwa umaskini hutegemea kwa sababu kadhaa. Kuongeza usawa na kupungua zaidi kwa ukuaji wa uchumi inaweza kusukuma watu zaidi katika umaskini. Janga hili pia linatoa changamoto kwa serikali , uwezo wa kifedha ambao ulikuwa tayari...
Habari 👋🏾
Kumekuwa na hali ya watu wengi kupuuza na kutokuchukua tahadhari ya ugonjwa wa UVIKO na wengine wakienda mbali kudai hakuna ugonjwa kama huo. Napenda kuwaambia COVID-19 deadly Delta yupo Tanzania na kila mahali, nimepatwa na ugonjwa ilhali nipo eneo lilotengwa na pembezoni katika...
Hili li ugonjwa limekaa kipigaji pigaji sana. Mi sio mtaalam wa mambo haya, lakini sijui kwanini naona kabisa li korona kama ni li biashara fulani la kupigia hela. Kinachonifanya niwe na wasiwasi ni haya mambo yafuatayo:
1. Ndani ya miaka miwili, kuna zaidi ya variants 5 za korona! Halafu eti...
Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi.
Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari.
Serikali imeshatenga usd 470 milioni kukabiliana na covid 19.
Nawasalimu kwa jina la...
“Tanzania tuna wagonjwa wa wimbi la Tatu la Corona. Hili jambo bado lipo, tuchukue hadhari zote na tunawaomba viongozi wa dini mseme hili kwa sauti kubwa"
Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza na baraza la maaskofu katoliki (TEC) #Tanzania #COVID19
=========
Rais Samia Suluhu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.