uviko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    #COVID19 Elimu kuhusu chanjo... Part 2 – uviko 19 (muendelezo wa uzi wa elimu kuhusu chanjo)

    Kabla ya kuendelea tafadhali piti andika linalohusu chanjo kwa ujumla Elimu ya jumla kuhusu chanjo (yoyote inayotolewa hapa nchini) UVIKO 19 NI NINI? Kwa Kiswahili tunaita UVIKO 19, yaani “Ugonjwa wa Virusi vya Korona wa mwaka 2019” ikiwa ni tafsiri sisisi ya maneno “Corona Virus Disease 2019”...
  2. Analogia Malenga

    #COVID19 Madaktari wapendekeza chanjo Uviko kuwa lazima

    Dar es Salaam. Katika kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, waganga wakuu wa mikoa wameishauri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, iangalie uwezekano wa kuifanya chanjo ya ugonjwa huo kuwa ya lazima. Wito huo wameutoa, kufuatia vifo vinavyoendelea kuwakumba...
  3. Hardlife

    TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
  4. M

    #COVID19 Covid-19 itatumaliza, Wizara ya Afya imekaa kimya kama vile haipo

    Ugonjwa wa covid 19 au uviko unaenea kwa kasi nchini.wizara ya afya utadhani haipo.hakuna jitihada zozote zinazofanywa na wizara hii kuhamasisha wananchi kujikinga na huu ugonjwa wa corona covid-19. Tayari leo Simba Sports club ishapoteza mmoja wa viongozi mashuhuri ambaye siku chache alihojiwa...
  5. N

    #COVID19 Mashetani wanatumia hadi madhabahu ya kanisa kuzuia watu wasipate chanjo ya UVIKO-19

    SHETANI KAPANDISHA MOLI Ndugu zangu tupo kwenye ulimwengu ambao shetani anatenda kazi sawasawa, ukiona mtu anasimama kupinga chanjo na hana evidence ya upingaji wake jua sio yeye bali ni mashetani yako kichwani yanamuongoza muhimu tumuombee mashetani wanataka kuhakikisha mnakufa kwa ujinga...
  6. A

    Polisi wajeruhiwa maandamano ya kupinga chanjo ya Uviko

    COVID-19: Five police officers injured after violence breaks out at anti-vaccine protest in London Ten people were arrested after demonstrators clashed with police in Canary Wharf and South Kensington. Friday 3 September 2021 23:39, UK
  7. Shadow7

    #COVID19 Wakazi wa Shinyanga piga namba hizi kama una changamoto ya cheti cha UVIKO-19

  8. I am Groot

    #COVID19 Rais Samia atupa kijembe kwa wapinga chanjo ya UVIKO-19. Asema hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa

    “Kuna Mwanangu (Goodluck Gozbert) aliimba ‘hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa’, mwenye kinywa atasema tu anayotaka kusema lakini ukweli utabaki palepale, chanjo hizi za Covid-19 zinasaidia kupunguza maumivu na hatari ya vifo kwa Watu". “Chanjo hatusemi ni kinga kabisakabisa lakini...
  9. Mlatino Zeshalo

    #COVID19 Yaliyonikuta baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19

    Habari zenu wana JF Natumai mambo yanaenda vizuri ukizingatia leo ni siku ya mapumziko kwa wengi wetu. Niende moja kwa moja kwenye mada, tar 16 mwez huu siku ya j3 nilifanya booking online kwaajili ya kupata chanjo ya covid 19. Nilitamani sana nipate hiyo chanjo siku ya ijumaa tar 20 mwez...
  10. Molleli

    #COVID19 Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  11. Mathanzua

    #COVID19 Viongozi wa dini, wametuuza waumini wao kwa Shetani kwa kuwa hatujaona msimamo wowote wa kiroho madhubuti wa pamoja kuhusu suala la Uviko 19.

    Hakuna shaka yeyote kwamba swala la Uviko 19 au ni la kughushi au lipo lakini si la kiwango kinacho zungumziwa au chanzo si hicho kinachosemwa,ila kinachoitwa Uviko 19, ni kisingizio tu. Ona ukweli huu hapa👇...
  12. Nduka Original

    Aina ya watu wasiotaka chanjo ya Uviko-19

    Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo. 1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji 2. Walokole kindakindaki 3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote 4. Wengi wao wana elimu za chini mno
  13. MR TOXIC

    #COVID19 Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

    Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo...
  14. Nyankurungu2020

    #COVID19 Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

    Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga. Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa...
  15. Roving Journalist

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  16. TODAYS

    Polepole awataka wataalam wa ndani wavumbue chanjo ya UVIKO

    Ukiachilia mbali kuwa mfuasi wa katiba pendekezwa, Humphrey Polepole ameamua kuvunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa maneno haya yaliyo katika tafsida... Unadhani ameongea maneno hayo kwa dhumuni au lengo gani?.
  17. GENTAMYCINE

    #COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

    Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika. Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu...
  18. Petro E. Mselewa

    #COVID19 Ifike mahali Askofu Gwajima na wengine wa jinsi yake wadhibitiwe kiserikali na kichama kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa. Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na...
  19. The Palm Tree

    #COVID19 Utata wa chanjo ya UVIKO-19: Askofu Gwajima kutoa msimamo mwingine juu msimamo tarehe 1/8/2021

    Mtazame na msikilize mwenyewe ktk video hii. Yeye kauita huu wa kesho kuwa ni "msimamo juu ya msimamo"... Hii ndiyo sauti ya "Jitu la Mbinguni" iliayo nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa Mwanakondoo upo duniani...! Video na sauti yake itafuata.
  20. J

    #COVID19 Mapambano dhidi ya Uviko 19 - viongozi wa dini mbalimbali watakiwa kuendelea kuisaidia Serikali

    MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO 19 - VIONGOZI WA DINI MBALIMBALI WATAKIWA KUENDELEA KUISAIDIA SERIKALI Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Urban Mwegelo amewasihi Viongozi wa Dini kuendelea kuisaidia Serikali kupambana na Ugongwa wa Virusi vya Korona ( UVIKO 19). Mhe. Mwegelo ametoa rai hiyo...
Back
Top Bottom