uviko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamati ya Bunge yaridhishwa na utekelezaji wa miradi ya uviko pori la akiba Wami mbiki

    Na. Beatus Maganja Kamati ya kudumu ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa kwake na utekelezaji wa miradi ya mpango wa Taifa wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 iliyotekelezwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ndani ya Pori...
  2. Wizara ya Afya yasema kuna ongezeko la wagonjwa wa COVID-19 na Virusi vya Mafua

    Wizara ya Afya imekuwa ikifanya ufuatiliaji wa taarifa za magonjwa ya mlipuko ikiwa ni pamoja na tetesi za kuwepo kwa magonjwa hayo ndani na nje ya nchi. Katika kipindi cha kuanzia mwezi Novemba, 2023 kumekuwa na tetesi juu ya ongezeko la visa vya magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa sehemu...
  3. Chanjo za corona zimepotelea wapi? Na uviko hali ikoje?

    Yale machanjo yetu tuliyopewa zawadi na mabeberu bado yapo? Siyasikii kabisa siku hizi kama hapo awali kwa jinsi yalivyokuwa yanapigiwa chapuo la mwendokasi. Nasikia kulikuwa na mafurushi kadhaa ya chanjo. Sijui ni mafurushi ama makapu, lakini naamini hayo machanjo yalijazwa kwenye kapu fulani...
  4. MUHAS:- Tafiti zinaonesha tiba asili za UVIKO 19 zilikuwa na matokeo chanya.

    Mfuko wa Utafiti wa UVIKO-19 wa Amne Salim: Jumla ya tafiti nane zimeweza kuzalishwa na watafiti mbalimbali kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) kufuatia ufadhili uliotolewa na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Salim Ahmed Salim uliolenga kuenzi kifo cha mke...
  5. Sauti ya Hayati Magufuli ikisema "Mtanikumbuka" yasikika tena, safari hii kwenye Uviko

    Nimekutana na habari hii hapa jamvini, Ndugu zangu, mabibi na mabwana, vijana na watoto, "Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'sacrifice' maisha yangu kwa ajili ya Watanzania maskini." Hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Raisi wa Tanzania mpendwa...
  6. M

    Mwigulu, sauti ya Luhaga Mpina ni sauti ya watanzania. Tupatie majibu, kwanini ujenge madarasa kwa pesa za foreign reserve? Ulisema za UVIKO zinatosha

    Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima? Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko? Tupe majibu watanzania
  7. Mwigulu mzee wa proffesional ya uchumi. Kama pesa za Uviko zilijenga madarasa Mbona ulitumia bil 124 nje ya bajeti? Acha kumshambulia shujaa Mpina

    Kelele kibao na kejeli. Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe? Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi? Pesa za uviko zilijenga madarasa na mkatuambia yanatosheleza. Sasa kwa nini udokoe bil 124 nje ya bajeti?
  8. #COVID19 Hali ya Uviko-19 nchini China inatisha

    Nimekuwa nikifuatilia mitandaoni ambako taarifa za hali ya UVIKO huko china imekuwa ya kutisha. Yaonekana kuwa kuna vifo vingi, wagonjwa wengi to the tune of having no space in hospitals, having no support facilities na taabu nyingine nyingi. Najaribu kujiuliza, sisi tumejiandaa namna gani na...
  9. T

    Video: Ukweli wa chanjo ya UVIKO-19 asemao Askofu Gwajima

    Tazama na sikiliza kwa makini mpaka mwisho, na hata majibu hasa ya wa kwanza kumjibu. ANASEMA, WATU LAZIMA WATAHADHARISHWE.
  10. #COVID19 Marekani yaweka masharti ya kupima UVIKO kwa wasafiri wanaotoka China

    Uamuzi huo umefikiwa baada ya China kutangaza kufungua mipaka yake kuanzia wiki ijayo, maamuzi kama ya Marekani pia yamefanywa katika Nchi nyingine zikiwemo Italia, Japan, Malaysia, Taiwan na India. Baada ya takribani miaka mitatu ya vizuizi, China inatarajiwa kuruhusu wasafiri kusafiri kwa...
  11. Singida: TAKUKURU kuchunguza Ubadhirifu wa TSH. Milioni 800 za UVIKO katika kukarabati Chuo cha Ufundi Stadi Sabasaba

    Waziri Ndalichako ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufanya uchunguzi katika chuo hicho kuangalia matumizi ya zaidi ya Sh. milioni 800 zilizotolewa kwa ajili ya ukarabati wa chuo. Ubadhirifu alioubaini ni katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi ambavyo vimenunuliwa kwa...
  12. C

    Namna ya akupata cheti cha kidijitali cha chanjo ya UVIKO

    Habari, wakuu. Nimepata chanjo ya corona tarehe 15 mwezi huu pale hospitali ya bukoba government hospital. Sasa nimpewa cheti cha kawaida ambacho sio cha kidigitali.. nimeambiwa mtandao unasumbua hvo nsubirie kidogo ntatumiwa sms ya uthibitisho kuwa nimechanja pamoja na link ya kudownload hicho...
  13. J

    SoC02 Jinsi UVIKO-19 ulivyoathiri upatikanaji, utunzaji na uzalishaji wa vyakula

    JINSI HALI YA UVIKO 19 ILIVYO LETA ATHARI KATIKA UPATIKANAJI, UTUNZAJI NA UZALISHAJI WA CHAKULA. UTANGULIZI UVIKO 19 ni ugonjwa ulio anza kusambaa mwishoni mwamwaka 2019, ukianzia huko nchini CHINA katika jimbo la WUHAN. Ugonjwa huu unaushisha dalili mbalimbali ikiwepokupumua kwa shida, mafua...
  14. #COVID19 Ummy Mwalimu: UVIKO-19 bado upo, ni muhimu kupata chanjo

    Waziri Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa UVIKO19 bado upo na namna nzuri ya kuepuka maradhi hayo ni kupata chanjo hivyo ametoa wito kwa wananchi kupata chanjo ambazo zinaendelea kugawiwa bure. Waziri amesema hayo katika ziara ya Rais Samia Mkoani Njombe ambapo amesema siku ya Jumamosi, Agost 13...
  15. #COVID19 Waziri Ummy Mwalimu, chanjo za UVIKO-19 zinakaribia kukufedhehesha

    Kwa mwezi mzima napokea SMS 10 hadi 15 kwenye simu yangu kwa siku zinazosomeka hivi: " ndugu Shitunguru Bunzali Joseph Umefanikiwa kupata chanjo ya UVIKO- Janssen. Unaweza kuangalia cheti chako cha electronic kupitia link..." Jumbe hizi zinatumwa kutoka kwenye namba 199, pia majina ya mtu...
  16. K

    #COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Rais wa Marekani bwana Joe Biden amepimwa na kupatikana na virusi vya korona Joe Biden mzee mwenye umri wa miaka 79 aliyepata chanjo kamili ya covid 19 kwa sasa amejitenga katika Ikulu ya white house huku akiendelea na majukumu yake ya siku zote --- Joe Biden test positive for COVID-19 United...
  17. Sikujua, kumbe chanjo ya uviko ni lazima na si hiyari tena?

    Habari za asubuhi Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa? Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa...
  18. Shule iliyonufaika na fedha za Uviko-19 yaingia 10 bora

    Ilikua vigumu sana kwa watu wengi kuelewa uamuzi uliochukuliwa na Rais Samia Suluhu juu ya fedha za mkopo zilizotolewa na IMF za mapambano dhidi ya Uviko-19 baada ya kuzipeleka kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini badala ya kununua vifaa vya kujikinga na janga hilo. Fedha hizo shilingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…