uvunjifu wa maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania TAMSAYA yakemea vitendo visivyo vya kimaadili kwa baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne

    Jumuiya ya Wanafunzi na Vijana wa Kiislamu Tanzania (TAMSYA) imekemea vitendo visivyo vya kimaadili vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya wanafunzi waliomaliza mtihani wa kidato cha nne mwaka 2026, ikiwemo kuimba nyimbo zisizofaa, kutumia lugha ya matusi na kutoa kauli za kashfa. Katika taarifa...
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini ndiyo chanzo cha uvunjifu wa maadili kwenye nyumba za ibada

    Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana. Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni muda wa sifa. Wimbo uliokuwa unaimbwa umeniacha mdomo wazi. Cha kushangaza waumini wanaimba vizuru...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi, Mahakama, Hospitali ya Taifa Muhimbili zina viashiria vya Uvunjifu wa Maadili

    Serikali imetaja taasisi za Polisi, Mahakama na Muhimbili kwamba zinaongoza kwa viashiria vya uvunjifu wa maadili nchini hivyo akaomba viongozi wakutane na kujadili kwa nini taasisi nyeti kama hizo zinatajwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
Back
Top Bottom