uwakala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Karibu Tukuhudumie katika Duka Letu la Uwakala Lililopo Tandika

    Karibu katika duka letu la Uwakala, Digital Financial Bridge (DFB), lililopo Tandika Sokoni. Tunatoa huduma za miamala ya simu kwa mitandao yote ikiwemo: Tigo Pesa Airtel Money M-Pesa Halo Pesa T-Pesa Azam Pesa Pia, tunatoa huduma za miamala ya benki mbalimbali kama vile: Absa Access Bank...
  2. G

    Dada wa kazi ya uwakala

    Habari wakuu kwa mtu mwenye ofisi ya uwakala na anatafuta dada mzoefu kwenye kazi ya uwakala anaweza kunichek...ikiwa Dar itapendeza zaidi
  3. A

    Nakodisha Line za uwakala wa mitandao ya simu

    Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi. Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena. Kama unazihitaji tunaweza kuingia makubaliano/Mkataba ili kuwe na usalama kwako na kwangu pia. Line nilizonazo ni...
  4. Msaada namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala

    Kwema wakuu!? Naomba msaada wa namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala wa mitandao ya simu.
  5. E

    Natafuta eneo ya kufanya Uwakala wa Mitandao ya simu Kinondoni Dar es Salaam

    Habari za majukumu wanajamvi naomba msaada mtu anaeweza nisaidia kupata eneo zuri lenye mzunguko mzuri wa biashara za UWAKALA wa MPESA TIGO PESA na Banks pia. Iwe ndani ya KINONDONI-Dar es salaam Naomba aje inbox
  6. Line za uwakala

    Kama wahitaji laini za uwakala..unapata 4 ukiwa na laki 3 Vigezo ni Tin Number na Kitambulisho cha NIDA Napatikana Ubungo Kwa mawasiliano 0656652250
  7. K

    Badili laini yako ya kawaida kuwa ya Uwakala

    Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu) Vigezo na mashariti 1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA 2. Uwe na TIN number Huduma popote ulipo Tanzania inakufikia, Malipo baada ya Kazi au Unaweza kuja Kigamboni. Whatsapp...
  8. NAUZA LINE ZA UWAKALA WA MIAMALA YA FEDHA

    Wahi offer Laini za wakala zimebaki mbili ni full documented na tunaandikishana, ikiwezekana twende kuchange usajili Imebaki Halo pesa na Airtel money, Zote nataka 90K Karibu Dm
  9. Nakodisha ofisi na mashine za uwakala wa benki na mitandao ya simu

    Sababu: ni kutopata muda wa kutosha kuisimamia kutokana na kubanwa na majukumu mengine mbali na eneo la biashara Eneo: Km 30 kutoka mji wa Mafinga - Iringa Huduma za uwakala wa benki: CRDB, NMB, NBC, TCB na MUCOBA. Mashine (POSS) zote ziko kwenye hali nzuri na zinafanya kazi Uwakala wa simu...
  10. P

    Naomba ushauri juu ya biashara ya uwakala wa fedha kwa Dar es Salaam

    Wazima ndugu zangu, Si mnajua maisha yalivyo wanadamu tumeumbwa kupambana hapa duniani kwa miaka hii michache tunayoishi hapa alafu ukiangalia maisha ndio yanazidi kuwa magumu ila ndio hivyo tuliambiwa tulime ndio tule kula kwa Jason huko. Lengo la kuja kwenu wakuu ni kuuliza kwa hapa...
  11. Fursa ya huduma ya uwakala wa mitandao na benki.

    Sema sina mtaji. Ila hapa kongowe pana fursa ya huduma za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu pamoja na benki. Juzi nilikua hapo kulipa ada yani wakala anafunga fremu na watu zaidi ya kumi na tunamsubiri arudi atuhudumie. Naongelea Kongowe stand, mpakani mwa dar na pwani. Kama upo vizuri...
  12. Naibu Waziri Silinde: Vyama vya Ushirika Vijijini ombeni Uwakala wa kusambaza mbolea

    Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde (Mb), amevitaka Vyama vya Ushirika vijijini kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati. Amesema wakati wa ufunguzi wa Siku ya Ushirika Duniani (SUD) katika viwanja vya Nanenane vilivyopo Ipuli...
  13. O

    Niuzie Banda la chuma ninaloweza kulifanya kama kiofisi sio ya uwakala

    Banda lisiwe kubwa sana just size ya fut 5 x5 au 5x6 Location mwanza, lisiwe chakavu nitafurahi likiwa maeneo changamfu au kama bado halijaingia sokoni sio mbaya nicheki dm
  14. Anahitajika Binti mwenye uzoefu na kazi ya UWAKALA wa pesa mitandao yasimu na benki

    Eneo : Dar/kimara Muda Wa kazi : 1 asbuh - 4 usku Mahitaji Wadhamin wawili (2) waliojenga wanao ishi kwao. Mshahara : 200,000 Mawasiliano : PM
  15. Naomba msaada wa ushauri jinsi ya kupata laini za uwakala

    Nahitaji laini za wakala Tigo. (TigoPesa) Halotel (halopesa) Vodacom (m pesa) Airtel (Airtel money) Kwa atakayeweza kunisaidia Nipo Dar es salaam
  16. Uwakala wa crypto una faida kubwa na huduma zisizohitaji ofisi

    Mimi ni trader wa forex katika soko la gold ambayo pear XAUUSD niliyoingia nayo ilinipa kama usd 7700 kwa lot size 20 kipindi cha nyuma mwaka 2021. Kipindi cha nyuma kutrans pesa kufika kwenye nchi yetu ilikuwa changamoto hata wengine ilifikia pesa zao kuzuiwa na benki nyingi au kuletewa...
  17. Nahitaji mashine ya uwakala wa benki, nambieni shortcut; process ni ndefu sana

    Mambo ni mengi naombeni aneyejua shortcut 😀
  18. T

    Mashine za Uwakala za NMB ni ghali sana halafu ni shida mno kuzipata

    Nawatafuta NMB, nilishawahi kuona uzi wao humu lakini sijui ulipo sasa. Mashine za uwakala za NMB (POS) moja inauzwa TZS 1,106,000/= (Milioni moja laki moja na elfu sita). Ajabu ni kwamba, pamoja na bei kubwa kiasi hicho kuipata mashine ya NMB ni kazi ngumu mno. Nimeomba kwao kupatiwa hii...
  19. Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya uwakala wa bima

    Jf kwa kipindi chote imekuwa na wataalamu mbalimbali. Naomba kujua maokoto au makadilio ya maokoto ya wakala wa bima(gari) katika bima moja yapo vipi. Natanguliza Shukurani...
  20. P

    Naombeni maelekezo jinsi ya kupata TIN na leseni ili nikasajilie lain za uwakala

    Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.? Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…