Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani.
Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya Singida ila nje ya singida itabidi awe na connection itakayo msaidia kuihamisha mkoa.
Bei maelewano...
Habari,
Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala.
Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje?
Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo...
Habari za leo wakuu:
Siku hizi mawakala wapya wa NMB wanasajiliwa bila ya kupewa zile mashine za kutolea risiti badala yake wakala anafanya kupitia simu yake ya mkononi hivyo mteja anaondoka na ile risiti moja ambayo ameijaza na wakala atagonga mhuri . Kwa wazoefu hii haileti changamoto kwa...
Salaam
Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta
Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
Baada ya ujio wa Taarifa ya TFF kuhusu mawakala wanaotambulika nimeona watu wanakuja na umeneja vs uwakala
HEBU TUPENI ELIMU JAMANI.
Ila je umeneja ni mtu ama taasisi?
Je, TFF inautambuaje umeneja na misingi yake ni nini na unafanya kazi vipi tofauti na uwakala?
TUNACHAMBUAJE WAJOMBA.
Sent...
Kama kichwa cha mada mie mdau nimebangaiza kitaa nina 4m hapa nataka nifanye biashara ya uwakala wa pesa kwa simu na mabank, natafuta frame ya kufanyia biashara hiyo iliyopo maeneo yalochangamka iwe Kinondoni, Mwananyamala, Kigogo nk. Nikiipata nianze kufuatilia lines za miamala na leseni ya...
Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba na namba ya nida?
.....Naomba kuwasilisha.
Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote
Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB...
Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu (Tigopesa,Airtel money na M-Pesa), kwa muda wa mwaka mmoja, nikiwa na Lengo la kuongeza uwakala wa...
Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG
Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na mwenendo mzima wa biashara hyo.
Katika kuangalia nimeona kuna kampuni kama tatu yani TOL, SALAMA na...
Habari za muda huu wanaJF!
Bila kupoteza muda kuna tetesi kuwa Vodacom hawasajili tena laini mpya za uwakala wa M-Pesa.
Mwenye taarifa tafadhali atueleze nini kimetokea huko.
Nauza Line za uwakala zote 5 Voda, Tigo, Halotel, Airtel, TTCL zote zina jina moja na documents zipo km lesseni na Tin. Nipo Songea 0717802341
Bei ya jumla 350,000/= tu...
Nipigie tujadili
Wakuu naomba kujua je, inawezekena au ninaweza kutumia leseni ya biashara nyingine kupata line ya uwakala kwenye mitandao ya simu?
Au kufanya uwakala huo ni lazima kuwa na leseni ya biashara inayohusiana na mambo ya uwakala kwanza?
Pia ninaomba kujua kwa makadirio ya kodi TRA huwa wanakadiria...
Habari wapendwa,
Poleni na majukumu, bado nipo kwenye harakati za upambanaji hivyo nahitaji msaada wenu.
Nataka kuanza biashara ya Tigopesa, Je what are the procedures ya kupata line ya wakala wa Tigopesa kwa yeyote anayefahamu.
Asanteni.
Ushauri wa mdau
Nyuzi unaoshauriwa kusoma...
Zifuatazo ni Aina Kadhaa za Nyumba za kuishi Familia ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako. Zipo ktk uwanja mpana wa STAILI, KIASI CHA KIWANJA, KIASI CHA VIFAA...
Kutazama Ramani Zake za Ndani
+255-657-685-268 WhatsApp
1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50
2 ==> vyumba 3...
Habari ndugu zangu naomba muongozo mwenye hakika na haya anijuze.
Nawaza kufungua ofisi ndogo ya kuwa wakala wa hudumu za kifedha kupitia mitandao ya simu,
Je, leseni ya biashara inapatikana kwa gharama kiasi gani (Mimi nipo mwanza sijawai miliki hiyo kitu ndo nata kuifuatilia Kisha nisajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.