Habari Wakuu,
Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu za kuweka Donat zangu.
Donati zangu zauza shilingi 100, nikiweka kwako nitakupa shilingi 20 kwa kila donati.
Nipo Mabibo, Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kaimu Abdi Mkeyenge anazungumza na Wanahabari kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu taasisi hiyo.
NMB huduma za kibenki kupitia kwa mawakala imekuwa ni changamoto.
Unaweza kwenda kwa mawakala hata 5 mfululizo, kila mtu atakuambia mara huduma hamna, mashine hamna etc.
Sijui shida ipo kwa nani.
Yaani kama una shida ya haraka na hela yako lazima ukione cha moto, ukiachilia mbali ATM...
Watafute kazi walizokuwa na ujuzi nazo. Baada FIFA na TFF kutaka wachezaji wasimamiwe na mawakala (agent) badala ya meneja asiekuwa na weledi wa kusimamia wachezaji.
Hii imekata ngede kwa machawa wa wachezaji, watafute kazi nyingine.
Wasalaam.
Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.
Nawaza hizo ideas mbili, aidha (a) Kufungua Uwakala wa Bank ama (b) Kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) na kuipeleka route za vijijini.
Location: Ndani ya Mkoa wa Geita.
NB: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo, sijawahi kuzifanya...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Mawakala wa meli (shipping agents) hawafanyi kazi kwa muda wa Saa 24 katika siku saba (7) za wiki, Shirika la Uwaka wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa ufafanuzi.
TASAC imesema kuwa Wadau wa Sekta ya Usafiri majini kupitia Kamati ya Maboresho ya Bandari...
Juzi nilielekea Wilaya ya Peramiho kwa majukumu yangu, sasa wakati narudi kuna geti pale la ukaguzi wa mazao wakavuta kamba akaja kijana na kuuliza kuhusu stika ya LATRA kwenye pikipiki.
Nikamwambia hakuna, akasema inatakiwa kuwa na stika kwenye pikipiki na mwisho wa kulipa ilikuwa Mei 30...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza au kuuliza, naomba mwenye taarifa atujuze ni wakala gani pekee alifaulu mtihani wa FIFA wa uwakala wa wachezaji?
Je, watanzania ni vilaza kiasi hiki? Nimetoa taarifa hizi toka kwa Angitile Osiah kama alivyo eleza katika moja ya makala yake kwenye gazeti la...
Habari wapendwa, Poleni na majukumu
Kuna mwenzangu alifanya maombi ya uwakala wa M-pesa, na hatua zote alishazifanya ikawa katika harakati za kupatiwa till number yule alokuwa anahusika kuunganisha swala Hilo akafariki(wakala mkuu wa eneo Hilo) na meneger hapatikani Kwa simu. je kunaweza kuwa...
Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara.
Location: Dodoma
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie namna naweza kuwa wakala wa betting (Betting Point).
Nataka uwakala sabab nina kibanda changu cha kuonesha mpira kimechanganya sana, nikapata wazo la kuwa wakala (Agent) kabisa wa betting.
Nitashukuru kwa msaada kutoka...
Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye simu zaidi ya moja.
Kwa sasa ninavyoelewa kwenye upande uwakala lazima line iwe imechomekwa...
Baada ya kutangaza nafasi za uakala wa mauzo ya kuuza majiko ya gesi ya kampuni ya M Gas tumepokea simu nyingi kila mmoja akitaka kuijuinga.
Tumeona tuweke sawa hapa ili kama hauna kigezo au kuelewa utaratibu usihangaike kupiga simu.
SIFA ZA WATU TUNAOHITAJI
Mtanzania
Umri kuanzia miaka 18...
Habarini za muda huu wadau wa Jamii Forums.
Ninatamani kuanza biashara ya kuuza gesi za kupikia nawezaje kupata uwakala wa haya makampuni ya gesi na vigezo vipi vinahitajika!?
Habari wadau,
Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya uwakala wa kibenki, yaani unakuwa na kibanda chako lakini unafanya shughuli za uwakala wa mabenki mbalimbali, kama vile NMB na CRDB inahitaji mtaji wa Tsh ngapi Ili kuifanya biashara hii bila kutetereka?
Na pia ni vitu gani muhimu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.