Wakuu
Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport
==
Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa dua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KΙΑ).
Rais Samia anaelekea mkoani Arusha ambapo kesho anatarajiwa kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli na Novemba 30 atashiriki mkutano wa...
Maelezo ya video,Tazama: Mashambulizi ya anga karibu na uwanja wa ndege wa Beirut
Israel imefanya mashambulizi zaidi ya anga huko Beirut na Lebanon usiku kucha, yakilenga matawi ya benki ya AQAH.
Shirika la habari la serikali ya Lebanon NNA liliripoti shambulizi kwenye tawi la benki hiyo karibu...
Inasemekana kuwa Emmanuel Nwude, mmoja wa matapeli maarufu zaidi katika historia ya uhalifu wa kifedha nchini Nigeria ambaye kati ya miaka ya 1995 na 1998, aliwahi kumuuzia mtu uwanja wa ndege wa bandia, akijifanya kuwa mkurugenzi wa Benki Kuu ya Nigeria.
Kwa udanganyifu huu, Nwude alimdanganya...
The Israeli cyber army on Saturday hacked into the control tower of Beirut Airport, the Rafic Hariri International Airport. The IDF breached the communication network of the control tower and threatened an Iranian civilian plane attempting to land, reported the MiddleEastMonitor website.
The...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani Ruvuma.
Rais Dkt. Samia amekagua Kiwanja hicho, leo Septemba 23, 2024 mara baada ya kuwasili Mkoani...
Barabara kutoka pale bypass ya East Africa ni ya zamani sana, ni nyembamba, imejaa mashimo, viraka, ukiipata ni sawa tu na njia ya kwenda Kiteto.
Barabara hiyo inatumiwa na watalii hasa wazungu, uwanja wa ndege Arusha una miruko(flights) zaidi ya 150 kwa siku, ni aibu kwa nchi.
Kwanini...
Huko Kenya kuna mabishano makali ya kisiasa baada ya serikali ya Ruto kuamua kuikodishia kampuni ya Wahindi ya Adani Group uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) uliopo Nairobi.
Mpaka sasa haijaeleweka hasa sababu za msingi za Serikali ya Kenya kuwakodishia Adani uwanja huo ukizingatia ni...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, Badr East Africa Enterprises Ltd. wenye gharama ya Sh. Bilioni 20.6 kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati.
Ujenzi huo...
Mchakato wa kukabidhi usimamizi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa kampuni ya Kihindi, Adani Enterprises, unaendelea, huku kampuni hiyo ikianzisha kampuni tanzu, Airports Infrastructure PLC. itakayokuwa na jukumu la kuendesha, kusimamia, na kuboresha Viwanja vya Ndege...
Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeridhishwa na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato jijini Dodoma ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 72 kwenye Barabara ya kuruka na kutua ndege huku Jengo la abiria likifikia asilimia 39.
Hayo yamesemwa leo...
Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan
Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala...
Anasema:
1. Vyoo vya mwendokasi vimejengwa mbali sana kutoka kituo kimoja hadi kingine
2. Uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam usitegemee maji ya Dawasa pekee
Unauonaje ushauri wake?
"Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam.
Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama!
Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
Polisi ameonekana akimshambulia "mshukiwa" katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza.
Baada ya video ya hilo tukio kusambaa mitandaoni;
1. Kulisababisha "wananzengo" wa Manchester kuandamana hadi kituo cha Polisi kuonesha hasira zao (ila hawakufanya fujo)
2. Kuliwaibua wabunge...
Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu.
Walipoanza tu msimu kila cku zilipokuwa zinakwenda tukaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, mfano Jobe...
Nyota wa muziki Nicki Minaj amekamatwa kwenye uwanja wa ndege nchini Uholanzi saa chache kabla ya kutumbuiza katika ukumbi wa Co-op Live jijini Manchester.
Rapa huyo wa Marekani, 41, alizuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Amsterdam wa Schiphol kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya.
Katika...
Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa.
Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla alijitahidi sana kuurejesha kwenye uhai lakini kampuni ya Mzawa haionekani kufanya chochote hadi sasa...
Nasikia kama kuna Kitu ambacho Marubani wengi wa Ndege nchini Tanzania hawakipendi basi ni kupangiwa route ya kwenda Kutua Uwanja wa Ndege wa Bukoba (Kagera) kwa Watani zangu na naambiwa wapo Marubani wengine Hujivunja (Hutoa Sababu za Uwongo) ili tu wakwepe na wapangiwe Wengine.
Pia kuna Mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.