Umuhimu wa uwanja wa ndege wa Chato umezidi kuonekana baada ya kuwa kiunganishi kikubwa kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Leo hii kiongozi akitoka Dodoma anatua Chato na kisha kuelekea eneo lolote la maeoneo ya kanda ya ziwa.
Makamu wa rais akiwasili Chato kisha kuelekea Kigoma kwa kazi za chama.
Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19.
Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji wanaorejea na...
Kwa heshima na taadhima napenda kuishauri serikali yetu adhimu,ibadirishe matumizi ya uwanja wa ndege chato ili tuepuke hasara itakayo tokana na uwanja huo kutotumika kikamilifu.
Uwanja huu wa kisasa umejengwa huku watanzania wakivutana na kurumbana wengine wakidai umejengwa kisiasa wengine...
Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde Leo amekabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuboresha huduma ya usafirishaji Jijini Dodoma.
"Nimekabidhi sare hizo leo kwa madereva taksi 30 zenye thamani ya Tsh 1,500,000 katika eneo la Uwanja wa Ndege kwa...
Uandishi wa uhakika huwezi kuwa rafiki na Mamlaka, Kuna siku moja Trump alikuwa anaishambulia CNN kwa Twitter kuwa badala ya kuitangaza vizuri Marekani na miradi yake ya kiuchumi chombo hicho kimekazana kupambana na Utendaji wa Rais na proganda zingine.
Muda huo huo CNN wakamjibu Tena kwa...
Wanabodi,
Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi naunga mkono ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.