Mehran Karimi Nasseri ni mwanaume ambaye ameishi ndani ya uwanja wa ndege kama nyumbani kwake kwa zaidi ya miaka 18. Serikali ya Iran ilimfukuza nchini bwana Nasseri bila kumpa pasi ya kusafiria (passport) wala viza kwa sababu alitoa kauli za kumpinga kiongozi mkuu wa nchi.
Alipotoka Iran...
Sakata la mgogoro wa kimkataba wa utoaji huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume umeiweka matatani Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) baada ya mwekezaji katika uwanja huo kufungua maombi mahakamani akiomba ridhaa ya kuishtaki.
Mwekezaji huyo kampuni ya Transworld...
WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema ndege zinazotua na kuruka katika viwanja ndani ya hifadhi zinasafirisha watalii kutoka Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Abeid Amani Karume, Zanzibar.
Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa...
Mohamed Ould Abdelaziz amesema Maafisa wa Usalama wamemzuia alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Nouakchott akijiandaa kupanda ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa, pia wakiishikilia pasipoti yake.
Amesema "Nilijitambulisha lakini wakanizuia licha ya kuwa sina zuio lolote la Kimahakama.” Serikali...
Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba...
Tunajua mzee Kato hakuwapenda wahaya maana walimuita mshuti kwakuwa wote walio hamia kutoka Bahima , Babito, Wanyarwanda na warundi wanaitwa washuti na kazi zao kubwa ni kufanya kazi mashambani, bahati mbaya mshuti alikuja akatoboa akawongoza mpaka wao!
Kwanza akazima ndoto nyingi za mkoa ule...
Uwanja wa ndege wa Bukoba bado umefungwna na hakuna ndege ya abiria inayotua.
Pamoja na Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa jana kueleza umma kwamba ndege zinaweza kutua, lakini kampuni mbili za ndege; ATCL na Precision hazijapeleka ndege zao Bukoba.
Ndege ya ATCL iliyokuwa itue leo...
Tanzania tumejariwa utajiri wa rasilimali madini,gesi asilia na mafuta,utajiri huu ni kinyume na maisha halisi ya wananchi wa Tanzania, nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini, tunahitaji uwanja wa kimataifa kwenye mji mkuu wa nchi ili kuweza kufanya...
UPDATE:
Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga cha Kenya (Kawu) kimetaka wanachama wao kuacha kazi leo baada ya Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kenya kukamilisha na kutekeleza Makubaliano ya Pamoja ya Majadiliano (CBA) ambayo yalijadiliwa na kuafikiwa mwaka wa 2019.
Wanachama wa Kawu ambao ni...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya haipo.
Spika Dkt. Tulia amesema “Wanasema mkataba unamalizika Juni 2023 ni mkataba gani? wakati hiyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022.
================
Kufahamu ziara nyingine za rais Samia tangu aingie madarakani soma...
Mamlaka za Forodha Nigeria imekamata viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7,000 vilivyokuwa Uwanja wa Ndeger kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Hong Kong.
Viungo hivyo vilikuwa katika magunia 16 na vilibainika baada ya kutoa harufu, na gharama yake imetajwa kuwa ni Dola 478,000 (Tsh. Bilioni...
Heshima sana wanajamvi,
Uwanja wa ndege wa kimataifa (KIA) Kilimajaro International Airport ni lango la utalii Tanzania.Uwanja huu umekuwa ukipokea wageni wengi wanaokuja kutalii katika Hifadhi zetu zilizojaliwa kila aina ya vivutio.
Bahati mbaya yupo askari mmoja kijana Mwanaume anayevalia...
Picha hii inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikibainisha kuwa huu ni uwanja wa ndege ya Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam.
Jamii Check tusaidieni kufuatilia hili.
Picha inayodaiwa kuonesha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere
Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Jubba imeanguka wakati ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Aden Adde Jijini Mogadishu Nchini Somalia huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa bado hakiajulikana.
Baada ya ndege hiyo kugeuka chini juu, idara ya usalama waliwahi eneo la tukio na kuokoa watu 36...
Kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez ameshindwa kusafiri na timu yake kwenda Marekani kutoka Hispania kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya kutokana na sababu za kiutawala.
Xavi amezuiwa kwa kuwa ameonekana na rekodi ya kuingia zaidi ya mara tatu Nchini Iran (alifanya hivyo wakati akiitumikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.