Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi.
Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa...
Inadaiwa Msanii Harmonize na team yake ya Konde Gang walienda VVIP kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, wakati wa mapumziko, jana Usiku wa Novemba 21, 2023.
Watu hao wakashuka kwa lengo la kuelekea Uwanjani inaaminika wlaitaka kwenda...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (SMZ) Mhe. Tabia Maulid Mwita amesema ukarabati unaoendelea kufanyika katika uwanja wa amani una lengo la kuimarisha na kuufanya kuwa wa kisasa na wenye kukidhi viwango vya kimataifa.
Ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa...
Lawama kuhusu paa zinazovuja katika uwanja mkuu wa ndege wa Kenya
Waziri wa uchukuzi wa Kenya na mamlaka ya viwanja vya ndege wamekabiliwa na shutuma mtandaoni kufuatia malalamiko ya kuvuja kwa paa kwenye vituo vya uwanja mkuu wa ndege wa Jomo Kenyatta.
"Mmoja wa wanachama wa timu yetu...
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameagiza kuondolewa mara moja kwa wananchi waliovamia na kujenga nyumba za kuishi ndani ya eneo la la uwanja mdogo wa Ndege uliopo Soweto Manispaa ya Moshi.
Agizo alilitoa Jana mjini Moshi baada ya kukagua upanuzi wa uwanja huo unaotarajiwa kigharimu...
Kiwanja cha Ndege cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) kimekabidhiwa rasmi kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA) kutoka kwa iliyokuwa Kampuni ya Uendelezaji na Uendeshaji Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (Kadco) baada mkataba wa uendeshaji kukamilika Novemba 9, mwaka huu...
UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia na kusimamia Makabidhiano ya Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) uliokuwa chini ya KADCO ambao sasa utakuwa chini ya TAA...
Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki ya kufahamu kinachoendelea.
Kwa mtu anayefikiri vizuri hapa tiyari utajua kosa la Simba lipo wapi...
Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa.
Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema Msukuma dharau kwa kanda ya ziwa haijalishi Makonda ni Mwenezi au Dotto ni Naibu Waziri Mkuu,kisiasa...
𝗥𝗘𝗩𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗: 𝗛𝗼𝘄 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗴𝗻𝗲𝗱 𝗮 𝗰𝗿𝗮𝘇𝘆 𝗱𝗲𝗮𝗹 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝗮 𝗺𝘆𝘀𝘁𝗲𝗿𝘆 𝗰𝗼𝗺𝗽𝗮𝗻𝘆 𝘁𝗼 𝗼𝗽𝗲𝗿𝗮𝘁𝗲 𝘁𝗵𝗲 𝗰𝗼𝘂𝗻𝘁𝗿𝘆'𝘀 𝗺𝗮𝗶𝗻 𝘁𝗼𝘂𝗿𝗶𝘀𝘁 𝗮𝗶𝗿𝗽𝗼𝗿𝘁
The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
Serikali imetangaza leo kuwa hatimaye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) utakabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) inayomilikiwa na Serikali (TAA) kesho, lakini walengwa halisi wa KADCO, kampuni iliyoendesha uwanja huo kwa miaka 25 na kukusanya mabilioni ya...
Na hakuna asiejua kwamba hizi timu mbili zote simba na yanga zina kamati maalum za wataalam wa mambo ya kiroho ila simba huwa inafanya wazi.
Tetesi zilizopo ni kwamba katika marekebisho ya uwanja, Yanga walitumia mwanya huu kupenyeza wataalam kubaini na kuziondoa ndumba za Simba,
magreda...
Kilichotokea Taifa leo, iwe ni funzo kwa vilabu vyetu vyote nchini, kwamaba mafanikio ya timu ya mpira wa miguu ni uwekezaji sahihi kwa wachezaji na miundombinu rafiki kwa wachezaji, na umahiri wa mipango, mafunzo, uhusianao mwema na mbinu za mwalimu wa soka kwa timu husika.
Viongozi wa vilabu...
MHE. NANCY NYALUSI AHOJI KADCO INASIMAMIA SHUGHULI ZA UWANJA WA NDEGE WA KIA KWA MKATABA UPI?
"Nampongeza sana CAG kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuweza kubaini madudu. Ucheleweshaji wa Malipo kwa wakandarasi umesababisha riba ya Shilingi Bilioni 68.77 kwa Serikali kwa taasisi 12. Hapo...
Ukiangalia mechi inayochezwa pale katika uwanja wa UHURU - Dar es Salaam, basi maeneo ya majukwaa YANATIA KINYAAA.
ULE ukoko unapaswa kuondolewa kwa kuwa sisi tunatabia za uchafu, basi yale maeneo yapakwe rangi NYEUSI ili ionekane ni rangi siyo uchafu.
Kwakweli tuache uvivu TUJIPENDE.
Uongozi wa Uwanja wa Ndege Songwe umeagizwa kujenga chumba maalumu cha baridi (cold room) kwa ajili ya kuhifadhia mazao na vitu vingine vinavyoharibika ili kuwanufaisha wasafirishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao kwenda mikoa na nchi mbalimbali.
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa...
Video: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katka mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Police Square Wilayani Manyoni mkoani Singida.leo tarehe 15 Oktoba, 2023
https://youtu.be/JIEFboO2SNY
Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.