uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UtdProfile_

    Taarifa: Nkunku nje ya uwanja wiki 16 (miezi minne)

    🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago. (Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu (Premier League). 🔃Na imethibitishwa na Klabu atakuwa nje kwa wiki 16 Sawa na. Miezi Minne🤔🤔🤔.
  2. chiembe

    Uwanja wa KIMATAIFA Chato ulipokea wageni wa kimataifa mara ya mwisho mwaka 2021

    Uwanja wa hadhi ya kimataifa, haujapata ugeni wowote wa kimataifa tangu Mzee wetu JPM afariki mwaka 2021. Hakuna watalii Wala tukio lolote la kimataifa. Kwa nini ulijengwa kwa hadhi ya kimataifa na mataifa hayafiki hapo uwanjani? Au walijengewa watu wa mataifa(wakristo watanielewa)
  3. Mganguzi

    Uwanja wa uhuru haufai kwa Simba kuufanya uwanja wa nyumbani. Tafuteni uwanja mwingine hata mkoani

    Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi. Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
  4. SAYVILLE

    Tujihadhari tunapoendelea kujaza uwanja wa Mkapa kuzidi uwezo wake

    Mainjinia waliochora na kuujenga uwanja wa Ben Mkapa walijenga uwanja huo kwa uwezo wa kuchukua uwezo siyo tu wa idadi ya mashabiki wanaotajwa wa 60,000 lakini pia makadirio ya uzito fulani. Ni kawaida kwenye mechi kubwa, mfano kama shughuli ya jana ya Simba Day kwa watu kuingizwa kuzidi idadi...
  5. R

    Hivi kwa presha ya siasa iliyopo nchini Rais angekubali kwenda uwanjani bila uwanja kujaa kwanza? "Sold out"

    Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani. Walioingia uwanjani siyo wana Simba bali ni wanasiasa na watumishi wa umma. Haiwezekani kabla hata watu awajajua tiketi...
  6. MK254

    Drones za Ukraine zasababisha uwanja wa ndege Moscow, Urusi usimamishwe

    PHOTO: RUSSIAN AIRPORT OF VNUKOVO The Russian airport of Vnukovo was closed for takeoff and landing on the afternoon of 6 August, allegedly due to "dangerous targets" in the sky. Source: Russian state-owned news agency TASS; Mash Telegram channel; Moscow Mayor Sergei Sobyanin, on Telegram...
  7. kavulata

    Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

    Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo. Kujaza huku kwa uwanja...
  8. GENTAMYCINE

    Siku yako Uwanja haukujaa na ukaingiza Watu 'Fungulia Mbwa' halafu utegemee Rais Samia apoteze muda wake Kuja?

    Rais Samia anaenda katika Tamasha la Timu ambayo imefanya yafuatayo.... 1. Imeitangaza nchi hasa Mlima Kilimanjaro 2. Imefanikiwa Kimataifa hasa CAFCL na siyo kwa Watoto na Wasiojua kule CAFCC 3. Inashiriki Michuano mikubwa na mipya Barani Afrika ya Africa Super Cup 4. Imeweka Kambi yake ya...
  9. GENTAMYCINE

    Mfano Uwanja wa Uhuru usipojaa Simba Day, tumeshaandaa cha Kuwajibu ambao Watatucheka na Kutucharura kwa Misifa yetu ya Kijinga?

    Yaani Timu iliyobeba Ubingwa na kufika Fainali ya CAFCC katika Siku yao ya Wananchi pamoja na baadae Kuruhusu Fungulia Ng'ang'a ( Mbwa ) Uwanja wa Mkapa haukujaa na hata kule Shamba la Bibi ( Uhuru Stadium ) haukujaa. Halafu leo anatokea Pimbi Mmoja ( tena ametumika sana Kutuumiza Simba SC )...
  10. Ojuolegbha

    Uwanja wa Amaan Zanzibar wakaguliwa maandalizi ya AFCON 2027

    Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Kenya Uganda na Tanzania kuhusu utayari wao wa kuwa wenyeji AFCON 2027, leo hii Julai 31, 2023 wapo Zanzibar ambapo wamekagua Uwanja wa Amaan, hospitali ya Mnazi Moja, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume pamoja na viwanja vingine vya mazoezi...
  11. SAYVILLE

    Je, ipo nia ya dhati kuukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wakati?

    Habari za mipango ya kufanyiwa ukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa zimeanza kutolewa zaidi ya miezi 3 iliyopita. Najua serikali ina taratibu zake kuanzia kutafuta pesa hadi wazabuni wa kufanya kazi husika, ila naona kuna hali fulani ya kujikongoja na kujivuta kwenye suala hili. Zamani kabisa...
  12. GENTAMYCINE

    Kama Uwanja wa Benjamin Mkapa una jumla ya Taa 248 kwanini zinazowaka ni 124 tu?

    Yaani Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bwana Said Yakubu ni kweli hujui kwanini Taa hizo Nusu ndiyo huwashwa kama ulivyotanabaisha katika Mkutano wako na Waandishi wa Habari leo? Sasa Mimi GENTAMYCINE kabla sijakupa Jibu kwanini Taa ziko 248 kwa Ujumla wake pale Benjamin Mkapa...
  13. Superintendent kimura

    Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea, vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo. Uwanja...
  14. Mpinzire

    Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

    Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua! Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege! Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya...
  15. Ileje

    Tetesi: Simba hati hati kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa!

    Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo. Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League...
  16. F

    Mashirika ya ndege yaukimbia uwanja wa ndege Chato. Hakuna ndege yoyote inayotua tena uwanjani hapo!

    Hata kampuni moja ya ndege iliyokuwa inakwenda Chato, mara moja kwa wiki, sasa imesimamisha safari zake. Ofisa Uhusiano wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben akijibu swali la Mwananchi “kwa nini safari za Chato zimefutwa,” anasema “hazijafutwa” isipokuwa kuna mabadiliko katika...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Video: Fungulia mbwa uwanja wa B.Mkapa Siku ya Wananchi

    Fungulia mbwa waifanye Utopolo matusi tupewe sisi
  18. GENTAMYCINE

    Hatutaki Kutangaza Kauzwa mpaka atujazie Uwanja tarehe 22 July, 2023 kwani tukitangaza sasa Watu hawatajitokeza

    Kwa hii Mbinu Jezi #6 FC nawasifu hakika Marketing mnaijua kuifanya vyema. Mlianza kwa Kumvalisha Jezi yenu mpya ya 'Magemu Magemu' ili Kuwaaminisha Mashabiki. Wafuatiliaji wa mambo tunajua kuwa tayari ni DONE DEAL Uarabuni ila mmeuchuna Kutangaza na mkalianzisha la Chama ili Kufunika bado...
  19. aka2030

    Wiki ya Mwananchi inafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa?

    Nauliza tu unafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa maana TFF imesema ngao ya jamii itafanyika Tanga sababu uwanja umefungwa kwa marekebisho
  20. BARD AI

    Burna Boy awa msanii wa kwanza kutoka Afrika kujaza Uwanja Marekani

    Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani . Show hiyo ilihudhuriwa pia na Mastaa wakubwa kutoka Marekani wakiwemo Busta Rhymes, SZA, Jorja Smith na rapa Santan Dave...
Back
Top Bottom