uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Kumbe Mganga wenu Kienyeji aliona Kipigo na mkacheza na Taa za Uwanja ili Mechi ihairishwe mroge vizuri?

    Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo. Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa...
  2. GENTAMYCINE

    Kwa aibu iliyotokea ya taa za Uwanja wa Mkapa nitamwona Waziri Pindi Chana ana akili kama akijiuzulu

    Najua baadhi mtamtetea ila kama Waziri na Kiitifaki ( kwa Ugeni wa Leo wa Waziri Mkuu Uwanjani ) alipaswa kuhakikisha Maandalizi yote ya Mchezo yako tayari na hakuna tatizo lolote lile. Tokea anateuliwa katika Nafasi hiyo GENTAMYCINE nilisema Waziri huyu Pindi Chana (Chawa wa Mama) ni Mzigo na...
  3. mugah di matheo

    Tunalazimisha "Full house" kwa Mkapa

    Ni wazi kabisa kuwa Taifa Stars haivutii wengi, hivyo ni mkakati wa kulazimisha uwanja ujae. Ndiyo maana unaona tiketi zinagawiwa bure bure tu nadhani had saivi zimefika 30,000 hivi za bure+15000 za kununua ni Kama 45,000 hivyo uwanja hutajaa kwenye mechi dhidi ya Uganda. Hapo TFF na Serikali...
  4. N

    Serikali kuboresha uwanja wa ndege Chato

    Uwanja wa ndege Chato kuboreshwa. Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa Chato uliopo mkoani humo kwa kuuwekea uzio na kisha taa za kuongozea ndege. Akizungumza na TBC mkoani Geita Nnko amesema...
  5. Mohammed wa 5

    Haji Manara vs Ahmed Ally na Ally kamwe, nani ameweza kujaza uwanja wa Mkapa?

    Nakumbuka zile mechi za CAF za Simba kipindi Haji Manara Afisa habari wa Simba, alikuwa anajaza uwanja wa Mkapa alikuwa ana press nyingi sijui, atembee kwenye masoko, gereji, kariakoo n.k, Haji Manara kwenye uhamasishaji Yuko vizuri kuliko Ahmedy Ally na Ally kamwe Ahmedy Ally kwenye...
  6. K

    Uwanja wa mpira Bariadi wageuzwa zizi la mifugo

    Uwanja wa michezo Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, ambao utumiwa na wanamichezo mbalimbali, Sasa unatumika kuhifadhi mifugo kama ngo'mbe, mbuzi, na kondoo pia. Taarifa zinasema kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Simon Simalenga, ameufanya uwanja huo kuwa zizi, baada ya kuamua kuhifadhi mifugo...
  7. M

    Viongozi wa CCM na Serikali mnajisikiaje mkiuona uwanja wa Azam Complex?

    Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa viwanja vyao unachangia. Huku mnaweza fanya kitu kizur kikatutambulisha watanzania. Hata mashindano yenu...
  8. comte

    CHADEMA oneni aibu basi kwa huu uwanja wa makoa makuu ya chama

  9. SAYVILLE

    Simba yaizuia Yanga kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee. Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale ya Ligi ya NBC yataendelea katika viwanja vingine, kwa hiyo Yanga na Simba watalazimika kutumia...
  10. M

    Meya ashuhudia unyama unaofanyika uwanja wa fisi

    Mstahiki Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge ametoa wito kwa jamii kuacha kutumia ngono kama kazi, akisema ni kinyume na sheria za nchi. Akiongea kwenye kipindi cha SupaBreakfast, Meya Mnyonge amesema asilimia 30 tu ya kondomu zinazowekwa kwenye maeneo ya biashara zinachukuliwa na kutumiwa na...
  11. R

    Kuna tofauti gani kati ya aliyekuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari na anayegawa uwanja wa mpira?

    Magufuli alikuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari la wazi. Kununua kuku kwa malaki etc etc. sasa kaja mwingine ananunua/anagawa mamilioni ya umma uwanja wa mpira. Wana tofauti gani, wakati huo hakuna madawati, dawa, na shida nyingi kibao kwa walalahoi?
  12. Sildenafil Citrate

    KWELI Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa muda baada ya CAF kushauri uboreshwe

    Asubuhi ya leo, Februari 22, 2023, kumekuwepo taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikisema kuwa Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) limeufungia uwanja wa Mkapa kutokutumika kwa mwezi mmoja ili kuruhusu kufanyika kwa maboresho ya sehemu ya kuchezea (Pitch) ambayo imeharibika na kukosa...
  13. vibertz

    Kwa kilichotokea leo uwanja wa Mkapa, uongozi wa Simba walikurupuka

    Leo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri. Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui afanye nini. Camera kwa...
  14. MamaSamia2025

    Mlioapa kutofanya mapenzi hadi ndoa mwaka 2001 pale uwanja wa mashujaa Moshi, mlifanikiwa?

    Ilikuwa siku ya Ijumaa, tarehe 01, desemba 2001, katika uwanja wa mashujaa mjini Moshi tulipokutanika wanafunzi wa kidato cha pili katika kilele cha siku ya ukimwi duniani. Shughuli zilikuwa nyingi pale lakini mojawapo ya mambo yaliyoweka alama mpaka kesho katika waliokuwepo ni kile kiapo cha...
  15. Mhaiki2022

    Gari la zimamoto kwenye Uwanja wa Mpira la nini

    Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika. Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
  16. J

    Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League

    Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League Serikali imeahidi kufanya marekebisho makubwa yanayohitajika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango vya kimataifa vinavyohitajika katika michuano ya Africa Super League ambayo Klabu ya Simba ndio...
  17. JanguKamaJangu

    Mtaalam wa Nyasi asema asema nyasi za Uwanja wa Mkapa zina 'Fangasi' lakini bado zina ubora wa mechi kuchezwa

    Erick Mpoki ambaye ni mtaalamu wa masuala ya nyasi za uwanjani ambao kitaalamu wanajulikana kwa jina la “Football groundsman” amesema amekuwa akifanya kazi hiyo tangu mwaka 2012 “Elimu hiyo ameipata kwa Wachina na Wazungu kwa vitendo, tukiwa kwenye kazi ndipo tumejifunza hapohapo...
  18. matunduizi

    Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

    Iran imeonyesha pic picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
  19. Roving Journalist

    Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Uwanja wa Mkapa kutia aibu kwa uchafu

    Uwanja wa Mkapa kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Al Hilal, Februari 5, 2023. Pia soma: Uwanja wa Mkapa unatia aibu, nani awajibike?
  20. NostradamusEstrademe

    Uhamiaji uwanja wa mwl. Julius Nyerere naombeni maelezo

    Nchi za SADIC ukitembelea huna haja ya visa.Inakuwaje sisi tukienda kule kwa shughuli yeyote hatuulizwi visa ila mgeni akitoka huko anaambiwa alipe dala 200.
Back
Top Bottom