uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Kampuni zafungua kesi kudai haki za kipekee katika uwanja wa ndege wa Zanzibar

    Sakata la mgogoro wa kimkataba wa utoaji huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume umeiweka matatani Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) baada ya mwekezaji katika uwanja huo kufungua maombi mahakamani akiomba ridhaa ya kuishtaki. Mwekezaji huyo kampuni ya Transworld...
  2. BARD AI

    Serikali yadai Ndege zinazotua viwanja vya ndani ya Hifadhi zinabeba Watalii

    WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema ndege zinazotua na kuruka katika viwanja ndani ya hifadhi zinasafirisha watalii kutoka Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Abeid Amani Karume, Zanzibar. Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa...
  3. Papasa

    Mkurugenzi KADCO: Ndege ilibeba watalii

    Mbona kama ufafanuzi umekua mwingi, siku zote hua najisemea ukiona ufafanuzi umeanza kua mwingi ujue kuna kitu hakipo sawa === "Wananchi waelewe kuwa ndege ile sio mara ya kwanza kutua kwenye uwanja wa KIA, ilishatua huko nyuma, nilivyoona ile taarifa mitandaoni nilishanga sana kwa sababu hawa...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mpira wa miguu ni mchezo unaokutanisha msiba na harusi kwenye uwanja mmoja

  5. Mateso chakubanga

    Kwanini Marekani haingii peke yake uwanja wa vita anavyovianzisha?

    Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
  6. Championship

    Nabii na Mtume Mwamposa karibu hapa Zanzibar uujaze uwanja wa amani

    Nitakuwepo hapa Zanzibar kwa majukumu unguja na pemba kwa wiki kadhaa. Nimegundua wengi wa wakazi wa hapa walienda uwanja wa Mkapa Dar es salaam kwa ajili ya ibada ya vuka na chako. Ni dhahiri watu wengi hapa wanaihitaji sana huduma yako hivyo fanya hima uweze kuja na kuujaza uwanja wa amani...
  7. JanguKamaJangu

    FT: Ligi Kuu Bara: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga : Uwanja wa Manungu : 31/12/2013

    Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro, Mtibwa wakiwa wageni. Kikosi cha Mtibwa Sugar Kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo huo Mchezo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa Mchezo umeanza 3' Umeanza kwa kasi ndogo, Yanga...
  8. B

    Ipo siku tutaandaa mechi siku za sikukuu ya Christmas au Idd el Fitr Uwanja wa Taifa

    TUJIULIZE MAMLAKA ZINAZOHUSIKA ZINAFAHAMU UNYETI UNAOENDA NA WATU WENYE IMANI KATIKA DINI Shirikisho la cha Mpira Tanzania TFF kuamua kuendelea na ratiba zake bila kujali imani za wachezaji wake kuadhimisha imani zao katika katika siku muhimu kiimani ni bahati mbaya au ni muelekeo wa kudumaza...
  9. Webabu

    Mpishi alifjikaje katikati ya uwanja Qatar

    Mpishi maarufu kutoka Uturuki Nusret Gokce amewatia kizunguzungu viongozi wa FIFA kwa kumkuta katika ya uwanja huko LUSAIL siku ya mechi ya finali wiki iliyopita.. Hatimae wakati wa kutangzwa mshindi na kukabidhiwa kombe alionekana akikumbatiana na akina Messi na kulibeba kombe la dunia...
  10. chiembe

    Ufisadi awamu ya JPM: Uwanja wa ndege Mwanza ulijengwa kwa bajeti ambayo haikupita Bungeni, mabilioni yachotwa

    Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
  11. MK254

    Putin kwa mara ya kwanza alia hali ilivyo ngumu kwenye uwanja wa mapambano huko Ukraine

    Akiwahutubia wana usalama, amesema ngoma ni ngumu sana pale Donetsk na Lugansk, yaani huyu jamaa ni kama huvuta bangi, nakumbuka alipompa Zelensky masaa 24 aihame nchi, leo analia lia... Na atakoma ubishi maana kipindi cha baridi kali kinakaribia, wanajeshi wake wako kwenye nchi ya watu, watu...
  12. C

    Tamasha la Vuka na Chako la Mtume Mwamposa lamfukuzisha kazi kwa uzembe Meneja wa Uwanja wa Mkapa

    Salum mtumbuka, Ametambulishwa rasmi kuwa Meneja mpya wa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam akichukua nafasi ya Daniel Madenyeka ambaye alikuwa anakaimu nafasi hiyo. Utambulisho huo umefanyika siku moja baada ya kutokea kwa tukio la kushindwa kuondolewa kwa jukwaa la injili kwenye...
  13. JanguKamaJangu

    FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

    Mchezo umemalizika Kibu Denis anaipatia Simba goli la tano akimalizia pasi ya Chama GOOOOOOOOOOOOOOOOO 85' Simba inataka kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo Sakho anapiga shuti la mbali nje ya eneo la 18, anafunga baada ya kipa kutoka eneo lake 75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 74' Geita...
  14. C

    Kama na wewe unataka kuujaza Uwanja wa Mkapa, kuaminika na kuabudiwa na wengi tembelea nchi hizi

    Nenda nchini Msumbiji hasa ile miji yenye madini mengi kisha mtafute Mganga wa hapo atakupika vyema Nyota na Utaujaza Mkapa Stadium. au nenda nchini Congo DR mtafute Msanii Kofi Olomide au Mwanafunzi wake kimuziki Fally Ipupa kisha waombe wakukutanishe na Waganga wao Hatari na Nyota yako...
  15. technically

    Je Mo ataondoka na Uwanja wa Bunju?

    Mo Arena Bunju ni Uwanja wa Simba au wa Mo? Je, Mo akiuza hisa zake ataondoka na uwanja wake? Maana sio Uwanja wa Simba ni Uwanja wa Mo! Cc. Mbumbumbu fc😀
  16. Makonde plateu

    Nipo hapa uwanja wa fisi manzese natafuta mke

    Mwadila Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa. Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti machangaduo ukiwaoa wanatulia kwenye ndoa sana kwasababu yeye ameoa changudoa tena amemtoa pale mwananyamala...
  17. JanguKamaJangu

    FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

    90' Mwamuzi anamaliza mchezo 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga 82' GOOOOOOOOOOO 75' Namungo FC wamepata nafasi kadhaa za kupiga mashuti langoni kwa Yanga 66' Bado mambo ni magumu kwa Namungo, wapo nyuma...
  18. JanguKamaJangu

    FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

    Full Time, Yanga inashinda 1-0. Fei Toto anaipatia Yanga goli GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi 87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka juu ya lango 85' Shuti kali langoni kwa Yanga, kioa Diarra anafanya kazi nzuri inakuwa kona 80'...
  19. MSAGA SUMU

    Ule uwanja wa makontena wa Qatar unaweza kufika nchini mapema kuliko tulivyodhani

    Mama kashamaliza hilo suala, Waqatar wamesema haina shida na walikuwa hawana mpango wa kuendelea kubaki nao. Maamuzi ya awali yanaonesha uwanja huo utafungwa Mwanza. Waziri wa michezo juzi alikuwa maeneo ya usagara kuangalia eneo utakapofungwa.
  20. BARD AI

    Saeed Abdullah Bakhresa, Mtanzania aliyejenga uwanja wa Lusail Qatar unaotumika Kombe la Dunia

    Jina la Saeed Abdullah Bakhresa litaibuka kila wakati Uwanja wa Lusail wenye uwezo wa kuchukua watu 80,000 huko Doha, ambao ni uwanja mkuu, ukitajwa. Mhandisi Bakhresa, mmoja wa wafanyakazi wengi wasio wazawa wa Qatar walioajiriwa ili kutoa kile kilichoonekana kama kazi isiyowezekana kwa wakati...
Back
Top Bottom