Uwanja wa michezo Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, ambao utumiwa na wanamichezo mbalimbali, Sasa unatumika kuhifadhi mifugo kama ngo'mbe, mbuzi, na kondoo pia.
Taarifa zinasema kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Simon Simalenga, ameufanya uwanja huo kuwa zizi, baada ya kuamua kuhifadhi mifugo...