Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu.
Walipoanza tu msimu kila cku zilipokuwa zinakwenda tukaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, mfano Jobe...
Nyota wa muziki Nicki Minaj amekamatwa kwenye uwanja wa ndege nchini Uholanzi saa chache kabla ya kutumbuiza katika ukumbi wa Co-op Live jijini Manchester.
Rapa huyo wa Marekani, 41, alizuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Amsterdam wa Schiphol kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya.
Katika...
⚪⚪ Real Madrid C.F. wameanza kuandaa harusi katika uwanja wao wa Bernabeu kama njia mojawapo ya kukusanya fedha ya kulipa mikopo ya mabilioni ya fedha waliyokopa kwa ajili ya kufadhili ukarabati wa uwanja huo.
•Kwa mujibu wa Mundo Deportivo Klabu ya RealMadrid sasa ina deni kubwa zaidi kuliko...
Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara.
Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani.
League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha...
Serikali inatarajia kutumia Tsh. 31,329,180,963.16 kwaajili ya Ukarabati wa Uwanja wa Michezo wa Benjamin Mkapa kwa awamu ya kwanza ambapo hadi kufikia Aprili 2024 Tsh. Bilioni. 7.44 zimelipwa kwa Mkandarasi
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kupitia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Utamaduni...
Mwaka huu uwanja wa Benjamin Mkapa unatimiza miaka 17 toka kuzinduliwa kwake. Katika kipindi hicho chote uwanja umetumika kwa shughuli nyingi za soka, serikali na dini.
Moja ya eneo muhimu la uwanja ambalo limekuwa na matumizi madogo sana ni "running tracks" au eneo la kukikimbilia kwenye...
Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.
Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7.
kila siku tunaimba kuwa ligi yetu imepanda kwa ubora na inasemekana kuwa ipo nafasi ya tano kwa ubora Africa, nimeshangazwa sana toka jana baada ya mchezo wa jkt Tanzania vs Yanga sc kuahirishwa kutokana na uwanja kujaa maji
JKT Tanzania walindelea kutaka mchezo wao uchezwe palepale kwenye...
kwa ninayoyaona sidhani kama tunastahili kuumiza wachezaji uwanja akama ule.
Uwanja ni mbovu haufai kabisa unatesa wachezaji na ni risk sana.
Tunaomba ukakaguliwe upya na aliyeupitisha achunguzwe alifuata sheria na vigezo vipi?
Hakuna mvuto kabisaaa wa kuangalia mpira kwenye huu uwanja.
Sisi wapenzi wa mpira tunapoenda kuangalia mpira Uwanja wowote ule kwa malipo maana yake sisi ni wateja inabidi tuheshimiwe kama wafalme kama kauli mbiu inavyosema kuwa mteja ni mfalme.
Nikizungumzia uwanja wa Taifa wa Mkapa ambao ndio uwanja mkubwa na bora kuliko vyote nchini kwakweli huduma...
Sisi Yanga huwa uwezo wa kuingia uwanjani wengi hawana. Mara nyingi mpaka iwe bure au kiwango cha chini sana. Sijajua ni utamaduni wetu au ni nini.
Simba wanapenda sana kwenda Uwanjani. This time naona sababu sisi ndo host ni kama wana kamgomo flani. Hawaoneshi kabisa nia ya kuja uwanjani. Na...
Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024.
PIA, SOMA:
Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa
Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri
Matukio baada ya...
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa...
Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga.
Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao.
Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran.
Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran.
Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria. Pia kauli ya kuanza na Jerusalem kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili...
Tuliambiwa kuna maboresho makubwa ya uwanja wa Benjamin William Mkapa (BWM) Stadium, lakini kiuhalisia sijaona jipya lolote mpaka jana nilipoenda kuangalia mechi ya wananchi (timu bora Afrika Mashariki na kati kwa sasa).
Uwanja ni mchafu, vyoo vichafu, viti ni vilevile vya kizamani, kwa kifupi...
Nilitegemea kwa yale mabilioni yaliyomwagwa kwa ajili ya ukarabati wa uwanja wa Mkapa pamoja na kuufungia usitumike mpaka sasa japo pamoja na marekebisho madogo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, vyoo, taa n.k Lakini mbona bado quality yake haifiki level ya viwanja vingine vikubwa tunavyoviona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.