uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    Mabomu ya machozi yanapigwa nje ya uwanja wa Taifa, mashabiki waliokata tiketi wamezuiwa kuingia

    Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
  2. uhurumoja

    Mageti ya uwanja wa Mkapa kuwa na rangi nyekundu ni makusudi?

    Wakuu nimefatilia na kuona mageti ya uwanja wa Taifa kuwa na rangi nyekundu nawaza kwa utulivu, hii sio kwamba TFF na wizara kuongozwa na Wana Simba imechangia hali hiyo? Kama MZALENDO wa nchi nataka kuona yale mageti yanapewa rangi neutral ili kuepusha mgongano USHINDI KWA YANGA LEO LAZIMA.
  3. N

    Hili suala la timu ya kigeni kuja na kila kitu chake na kukataa vitu vilivyoandaliwa kwaajili yao limekaaje kikanuni?

    Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi...
  4. briophyta plantae

    Utata gharama za utengenezwaji uwanja mpya wa mpira Arusha

    Kumekuwa na utata juu ya gharama za ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini arusha, wananchi wamehoji sana na kuonekana kutokukubalina na gharama na hasa wakilinganisha na gharama za Uwanja wa Benjamin Mkapa uliojengwa kipindi cha nyuma 2007 ukiwa na uwezo wa kubeba watu 60,000 kwa gharama ya 64...
  5. Replica

    ATCL yapanga kuwa na uwanja wake ndani ya Julius Nyerere Airport

    Air Tanzania Company(ATCL) ina mpango kuwa na uwanja wake utakaohudumia ndege zake pekee ndani ya uwanja wa ndege wa Jylius Nyerere. Mipango hiyo ilitangazwa na waziri mkuu, Kassim Majaliwa wakati akipokea ndege mpya aina ya Boeng. Uwezekano ni Serikali itatenga uwanja wa ndege za...
  6. Cicadulina

    Mamelodi Sundowns watakagua uwanja wa Mkapa kwa kutembea peku

    - Huwa binafsi mimi na wachezaji wangu tunatembea bila viatu wakati tunapoukagua uwanja wa wapinzani wetu #CAFCL, wasiotufahamu haswa katika michezo ya kimataifa huhisi ni uchawi wetu ila ukweli ni kwamba huwa tunafanya hivyo kwa faida za kisayansi na sio uchawi.." Kutembea bila viatu, pia...
  7. Mbabaishaji

    Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha uhamishiwe Mwanza

    UBUNTU BOTHO Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza . 1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari. 2)Uchache...
  8. Mganguzi

    Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

    Michoro na mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa soka Arusha uko tayari na umesainiwa; na tayari wakandarasi wako site! Kelele nyingi na majigambo ya machawa ni kuhusu jina la uwanja wakati bado hata Lori Moja la mchanga halijamwagwa pale tayari wametoka na jina la uwanja wenyewe! . Samia...
  9. mtwa mkulu

    Mamelody yaamua kujizatiti na kukatika kwa umeme uwanja wa taifa

  10. Nehemia Kilave

    Kwa Tofauti hizi za gharama za uwanja wa Mkapa na Samia, kuna haja ya Maslahi ya Watumishi kuangaliwa upya

    Ni zaidi ya miaka 15 ishapita tangu uwanja wa Mkapa ujengwe lakini tofauti ni kubwa sana mbali na kwamba Uwanja wa Samia ni nusu ya Uwanja wa Mkapa Hii inaonesha na ni ushahidi piq kuwa mambo mengi yamebadilika na gharama za maisha zimepanda pia hivyo kuna haja ya watumishi kuangaliwa maslahi...
  11. Lexus SUV

    Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustahili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON?

    Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustaili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON au mpaka tutenge kodi za mama ntilie ili zikashibishe matumbo ya watu?
  12. BigTall

    Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

    Uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya #Tanzania na #China, mpango uliopo mezani ni mchakato wa ujenzi wa uwanja mwingine wa kisasa ambao Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu Utamaduni na Michezo imesema itawasilisha mapendekezo uitwe Uwanja wa Samia Suluhu Hassan. Pia, Wizara...
  13. J

    Plot4Sale Uwanja unauzwa Mlimwa "C" karibu na makazi ya Waziri Mkuu wa Tanzania. Millioni 50

    🥀SEHEMU:-MLIMWA "C" MKOA:- DODOMA MJINI 🏀Kina fensi upande mmoja 🍀UKUBWA WA UWANJA:-1,091 sq.m ✅BEI:- MILLIONI 50. 🇹🇿MAWASILIANO:-0622 599 002
  14. sonofobia

    Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

    Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe. Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi. Daima mbele nyuma mwiko.
  15. Expensive life

    Uwanja pekee unaoweza kujengwa pale jangwani ni wa kufugia majini

    Wananchiiiii 😃😃😃 nikisema nyie ni mazuzu nitakuwa nakosea? Eti uwanja mpaka siku mkiuchomoa huo mwiko ndio mtakuwa na akili. Hivi uwanja wenu utakuwa unaingiza mashabiki wangapi? Contractor tayari mmeshampata? Ameshafanya tathimi ya eneo ambalo uwanja utajengwa? Kwa geography ya eneo la...
  16. D

    Tatizo la ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza nini hasa, tuelezeni

    Sisi wazalendo tunakerwa sana na uzembe wa TAA kuanza ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza, wameahidi mara kadhaa kwa Mkuu wa Mkoa, kuwa pesa imetolewa na Rais bilioni 30 sasa. Kinachochelewesha ni nini? Songwe imeishakamilika, Tabora, Iringa, Tanga, Msalato, Arusha, Moshi vinajengwa...
  17. ChoiceVariable

    Gerson Msigwa: Uwanja Mpya wa Mpira Utakojengwa Arusha Utaitwa Samia Suluhu Hassan Stadium

    My Take Naunga mkono hoja ila prefix ya Dr iondolewe ndio jina litapendeza zaidi. Pili Mtu apewe maua yake mapema kabla hajafa sio mtu amefariki kama Lowassa ndio mnaanza kujisemesha ooh sijui alijenga nini tutunze historia nk. Kazi iendelee 👇👇 --- Uwanja huo unaosubiriwa kwa hamu kujengwa...
  18. BARD AI

    Wananchi wa Nigeria wapinga Uwanja wa Ndege kupewa jina la Rais Bola Tinubu

    NIGERIA: Wananchi kutoka katika jimbo la Niger wamepinga uamuzi wa Serikali kubadili jina la Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Minna na kuuita jina la Rais Bola Tinubu kwa maelezo ya kutambua mchango wa kiongozi huyo katika maendeleo ya jimbo hilo. Pia, Msemaji wa Serikali ya Jimbo hilo, Hajia...
  19. D

    Nani angesaidia kuharakisha mchakato wa Ujenzi uwanja wa ndege Mwanza, TAA au TANROADS, naomba mawazo yenu

    Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini baada ya TAA kukabidhiwa na mkoa kasi ingeongezeka na hususani baada ya Rais kutoa bn 30 kazi...
  20. Superbug

    Tukumbushane kisa cha mwamba aliyejinyonga kwa bahati mbaya uwanja wa golf Morogoro

    Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga. Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
Back
Top Bottom