Tupazeni sauti zetu ukarabati hewa uwanja wa Mkapa

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
1,434
Reaction score
1,930
Salamu kwenu wadau wa mpira.

Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.

Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.

Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion 30! Viongozi wapo.na uwanjani wanaenda na wanaona sawa.

Simba na Yanga zimefukuzwa kutumia uwanja wa mkapa toka 2023 ili kupisha ukarabati ambao ni zero ukiondoa kubadili taa.

Hivi kweli toka 2023 hadi leo 2025? Hii nchi gani hii..
Duration ya miaka miwili inatosha kufanya 100% construction ya kiwanja kipya......sasa kama tumeelezwa uwanja mpya wa Arusha utakamilika 2027 kutoka zero construction sembuse uwanja wa mkapa unaofanyiwa ukarabati pekee.

Hii ni aibu kwa Taifa.fikirieni vp kama uwanja wa Amani ungekuwa haujafanyiwa matengenezo.

Ndugu Washabiki hebu naomba tuwe serious..tubebeni mabango siku za mechi ya kulaani huu ufisadi.
 
Tanzania tuna kasumba mbaya sana. Mtanzania jambo kama anaona halimuathiri moja kwa moja analipotezea, likija kumgusa ndiyo anaanza kulialia.

Simba iwe makini sana sana. Narudia tena, Simba iwe makini saaana. Inaweza kufanyiwa figisu ili itoke isifike fainali maana kama itafika fainali na isiweze kufanyikia Dar es Salaam, kelele za ukarabati wa Mkapa zitakuwa kubwa sana.

Viongozi waanze kuchunguzana kwa umakini na pia wachezaji wanaweza kutumika katika hujuma hii.
 
Salamu kwenu wadau wa mpira.

Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.

Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.

Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion 30! Viongozi wapo.na uwanjani wanaenda na wanaona sawa.

Simba na Yanga zimefukuzwa kutumia uwanja wa mkapa toka 2023 ili kupisha ukarabati ambao ni zero ukiondoa kubadili taa.

Hivi kweli toka 2023 hadi leo 2025? Hii nchi gani hii..
Duration ya miaka miwili inatosha kufanya 100% construction ya kiwanja kipya......sasa kama tumeelezwa uwanja mpya wa Arusha utakamilika 2027 kutoka zero construction sembuse uwanja wa mkapa unaofanyiwa ukarabati pekee.

Hii ni aibu kwa Taifa.fikirieni vp kama uwanja wa Amani ungekuwa haujafanyiwa matengenezo.

Ndugu Washabiki hebu naomba tuwe serious..tubebeni mabango siku za mechi ya kulaani huu ufisadi.
Hivi yanga walicheza final ya shirikisho lini?
 
Cha ajabu wapiga kelele wa soka wanaojiita wachambuzi wote kimyaaaa. 30bn ndio imeenda hivyo. Fikiria ingekuwa AFCON imeeanza viwanja vyote vipo occupied. Zingepelekwa wapi hizo matches.

No reforms No election
Uwanja bado unaendelea na ukarabati, ndiyo maana kuna sehemu kubwa tu viti vimeng'olewa, acheni propaganda uchwara
 
Back
Top Bottom