redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 6,458
- 14,183
Uo uwanja sehemu ya kuchezea ime expire, Nyasi zina fungus ila Tangu umezinduliwa haujaguswa eneo ilo.
Ilo eneo ili lireekebishwe aipungui miezi 6.
Wanatakiwa waondoe udongo wote wa juu karibu futi 4 waweke udongo mpya.
Wataalam wa Nyasi ambao wanazifahamu nyasi zinazoweza himili mchezo, ngumu kupata maambukizi ya fungus, zinazo weza kuhili Aliya hewa ya ukanda wa pwani kwa msimu mzima wa mashindano.
Wataalamu wenye kufahanu namna ya ku set ili maji yasi tuwame na yaweze kuendelea na safari nje ya eneo la kuchezea.
Ule udongo wa Chini maana yake Kuna namna uwezo wake wa kunyonya maji umeshindwa au umechezewa sana kiasi umbali wote kutokea juu mpaka futi tatu Chini limeshakua gumu kiasi maji yana penya kwa shida hali inayo Fanya maji yabaki tabaka la juu la kuchezea .