Tupazeni sauti zetu ukarabati hewa uwanja wa Mkapa

Salamu kwenu wadau wa mpira.

Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.

Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.

Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion 30! Viongozi wapo.na uwanjani wanaenda na wanaona sawa.

Simba na Yanga zimefukuzwa kutumia uwanja wa mkapa toka 2023 ili kupisha ukarabati ambao ni zero ukiondoa kubadili taa.

Hivi kweli toka 2023 hadi leo 2025? Hii nchi gani hii..
Duration ya miaka miwili inatosha kufanya 100% construction ya kiwanja kipya......sasa kama tumeelezwa uwanja mpya wa Arusha utakamilika 2027 kutoka zero construction sembuse uwanja wa mkapa unaofanyiwa ukarabati pekee.

Hii ni aibu kwa Taifa.fikirieni vp kama uwanja wa Amani ungekuwa haujafanyiwa matengenezo.

Ndugu Washabiki hebu naomba tuwe serious..tubebeni mabango siku za mechi ya kulaani huu ufisadi.
Yaan ni fujo tupu
 
CAF waliufungia uwanja msemaji wa Serikali akaleta siasa zake CAF wakaufungulia ili watu wenyewe wajionee wanachokipigania katika ile hatua ya robo Mkapa ndio ulikua kama majaruba ya mpunga kama wameshindwa kukarabati pitch watakarabati nini pale washaiba pesa kazi kudanganya watu kila kukicha wamepitisha kiwango kikuvwa cha pesa na bado wameshindwa kufanya kazi..
 
Huyo ni mdogo sana,

Waziri na Naibu wake na Katibu Mkuu na Naibu wake walipaswa wawe Keko/Ukonga/Segerea
Mwana FA imebaki kidogo tu nimwangushie ila ngoja nikaushe muulizeni vizuri Ndumabaro tena ikiwezekana na Makwenzi juu kamata yule afisa Habari Maelezo Kurugenzi Ikulu aliekua anabeba vibunda km Katibu Mkuu Gerson Msigwa tia mabanzi mpaka aseme shika Mwana FA kalisha Chini aeleze hawana majibu ya kujitosheleza wote lupango wakasubirie ndani kwanza pesa za Wananchi
 
CAF waliufungia uwanja msemaji wa Serikali akaleta siasa zake CAF wakaufungulia ili was wenyewe wajionee wanachokipigania katika ile hatua ya robo Mkapa ndio ulikua kama majaruba ya mpunga kama wameshindwa kukarabati pitch watakarabati nini pale washaiba pesa kazi kudanganya watu kila kukicha wamepitisha kiwango kikuvwa cha pesa na bado wameshindwa kufanya kazi..
CCM ni Wezi wote Vibaka
 
Salamu kwenu wadau wa mpira.

Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.

Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.

Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion 30! Viongozi wapo.na uwanjani wanaenda na wanaona sawa.

Simba na Yanga zimefukuzwa kutumia uwanja wa mkapa toka 2023 ili kupisha ukarabati ambao ni zero ukiondoa kubadili taa.

Hivi kweli toka 2023 hadi leo 2025? Hii nchi gani hii..
Duration ya miaka miwili inatosha kufanya 100% construction ya kiwanja kipya......sasa kama tumeelezwa uwanja mpya wa Arusha utakamilika 2027 kutoka zero construction sembuse uwanja wa mkapa unaofanyiwa ukarabati pekee.

Hii ni aibu kwa Taifa.fikirieni vp kama uwanja wa Amani ungekuwa haujafanyiwa matengenezo.

Ndugu Washabiki hebu naomba tuwe serious..tubebeni mabango siku za mechi ya kulaani huu ufisadi.
Tukiwaambia wanawake akili ya kuongoza awana kielelezo ni samia ....wakati timu zetu zikijitaidi kuwa na heshima duniani samia anazidi kufanya nchi yetu kupoteza heshima kwa kushindwa kuweka kiwanja kikuu cha nchi kiwe standard lengo ni kufanya mema ya bara yainufaishe zanzibar ..... alafu huu upuuzi unataka kuongoza nchi kwa miaka mingine mitano .....No No No......
 
CAF waliufungia uwanja msemaji wa Serikali akaleta siasa zake CAF wakaufungulia ili was wenyewe wajionee wanachokipigania katika ile hatua ya robo Mkapa ndio ulikua kama majaruba ya mpunga kama wameshindwa kukarabati pitch watakarabati nini pale washaiba pesa kazi kudanganya watu kila kukicha wamepitisha kiwango kikuvwa cha pesa na bado wameshindwa kufanya kazi..
WAISLAMU KUPEWA NCHI KUONGOZA NCHI NI UKAFIRI MKUBWA SANA HIVI VIUMBE AVIJAWAI KUWA NA AKILI....VINATABIA YA KULINDA MAFISADI NA KUCHUKIA WAZALENDO NA UZALENDO 👉💩💩💩💩💩💩💩💩
 
Msigwa hajaita press? Tupo kwenye flight mode kwa sasa,haya madudu ni kila mahali na hadi sasa hakuna kiongozi aliyeahidi uchunguzi ufanyike!
 
Back
Top Bottom