gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Ukarabati haswa ni kama mwaka tuMiaka miwili unakarabati au unajenga uwanja mpya?
Ukarabati haswa ni kama mwaka tuMiaka miwili unakarabati au unajenga uwanja mpya?
Sasa huoni tofauti hapo!?..shida hapo ni helaUkarabati toka 2023!
Wee vp,
Mbona project ya uwanja mpya ujao wa Arusha unatarajia kuwa umekamilika kwa kipindi cha miaka 2 tu from zero construction.
Watawajibishana sasaHii haingii akilini
Billion 31
Pitch kama jaluba la Bariadi
Sehemu ya kukaa Iko hovyo
Vyoo vibovu
Mifumo ya umeme Bado
Serikali iwawajibishe wahusika
Nyie tusipowapigia kelele inaweza fika mpaka 2050 hamjamaliza ukarabatiUwanja bado unaendelea na ukarabati, ndiyo maana kuna sehemu kubwa tu viti vimeng'olewa, acheni propaganda uchwara
Pitch inayotia kinyaa ilikuwa bado inafanyiwa ukarabati?Ukarabati haswa ni kama mwaka tu
Uliona lini pitch imefumuliwa?Pitch inayotia kinyaa ilikuwa bado inafanyiwa ukarabati?
Tangu lini fainali ikachezwa kwenye nchi ya timu zinazoshiriki?Tanzania tuna kasumba mbaya sana. Mtanzania jambo kama anaona halimuathiri moja kwa moja analipotezea, likija kumgusa ndiyo anaanza kulialia.
Simba iwe makini sana sana. Narudia tena, Simba iwe makini saaana. Inaweza kufanyiwa figisu ili itoke isifike fainali maana kama itafika fainali na isiweze kufanyikia Dar es Salaam, kelele za ukarabati wa Mkapa zitakuwa kubwa sana.
Viongozi waanze kuchunguzana kwa umakini na pia wachezaji wanaweza kutumika katika hujuma hii.
Uwe na Akili Aisee.Sielewi why hqdi leo Yule meneja Bado Ana kazi
Mwana FA imebaki kidogo tu nimwangushie ila ngoja nikaushe muulizeni vizuri Ndumabaro tena ikiwezekana na Makwenzi juu kamata yule afisa Habari Maelezo Kurugenzi Ikulu aliekua anabeba vibunda km Katibu Mkuu Gerson Msigwa tia mabanzi mpaka aseme shika Mwana FA kalisha Chini aeleze hawana majibu ya kujitosheleza wote lupango wakasubirie ndani kwanza pesa za Wananchi
Ukiwa komaa kwenye dini tulizoletewa na wakoloni mpaka mnafikia kubaguana ni kudumaza ubongo dini zimeletwa juzi tu hizi usiwabague watch kwa sababu ya dini Yao au makabila ni udumavu wa kufikiri.WAISLAMU KUPEWA NCHI KUONGOZA NCHI NI UKAFIRI MKUBWA SANA HIVI VIUMBE AVIJAWAI KUWA NA AKILI....VINATABIA YA KULINDA MAFISADI NA KUCHUKIA WAZALENDO NA UZALENDO 👉💩💩💩💩💩💩💩💩
Kwa hiyo ukweli (truths) ni ubaguzi 🙄🙄Ukiwa komaa kwenye dini tulizoletewa na wakoloni mpaka mnafikia kubaguana ni kudumaza ubongo dini zimeletwa juzi tu hizi usiwabague watch kwa sababu ya dini Yao au makabila ni udumavu wa kufikiri.
Ninyi wote hamna dini hakuna ukweli kama dini zenyewe ni za kurithi kutoka kwa Wakoloni.Kwa hiyo ukweli (truths) ni ubaguzi 🙄🙄
Mimi nimeongelea upumbavu wa dini na madhara yake nani kakuambia mimi nina dini .... kwa Tanzania uislamu una madhara yake na ukristo hivyo hivyo sababu ni kutokuzijua dini na unafiki wa kidini ....kuhusu madhara ya waislamu wa Tanzania kwenye uongozi yapo dhahiri...sifa ya waislamu viongozi ni kutokujari taifa kutokujari masikini kutokujari wagonjwa (wao ndiyo walio leta mambo ya kulipia hadi maiti muhimbili na kupandisha dharama za matibabu kwenye hospital za serikali sasa hivi kulala kwenye bweni la muhimbili ni ghari kuliko kulala guest House...waislamu ni maadui no 1 wa uzalendo na wazalendo .....ufisadi mkubwa wote Tanzania wahisika wakuu ni waislamu ....ndiyo maana niliwaambia watz kuwa uislamu na ukristo haujaleta faida yoyote nchini hata moja ...ndiyo maana tunapinga mambo ya dini kwenye shule za elimu dunia ziwe za binafsi au serikali...ni upumbavu kuruhuse elimu za dini kwenye shule hizo.Ninyi wote hamna dini hakuna ukweli kama dini zenyewe ni za kurithi kutoka kwa Wakoloni.
Hawajiulizi zinatoka wapi! Pale imetumika 1b na 30b zimewekwa kwa ajili ya goli la mama.Si huwa mnapewa hela za goli la mama?
Kabla ya kutoa lawama au kushutumu,fuatilia ujue huo mkataba wa ujenzi ulisainiwa lini,baina ta nani na nani,kwa kazi zipi na kwa gharama zipi.Baada ya hapo sasa nenda ukatafiti nini kimefanyika,nini hakijafanyika,ndipo sasa uje uandika uzi hapa utupnedhe kila kitu,unapoandika jumla jumla kama hivi,si haki kushutumuSalamu kwenu wadau wa mpira.
Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.
Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.
Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion 30! Viongozi wapo.na uwanjani wanaenda na wanaona sawa.
Simba na Yanga zimefukuzwa kutumia uwanja wa mkapa toka 2023 ili kupisha ukarabati ambao ni zero ukiondoa kubadili taa.
Hivi kweli toka 2023 hadi leo 2025? Hii nchi gani hii..
Duration ya miaka miwili inatosha kufanya 100% construction ya kiwanja kipya......sasa kama tumeelezwa uwanja mpya wa Arusha utakamilika 2027 kutoka zero construction sembuse uwanja wa mkapa unaofanyiwa ukarabati pekee.
Hii ni aibu kwa Taifa.fikirieni vp kama uwanja wa Amani ungekuwa haujafanyiwa matengenezo.
Ndugu Washabiki hebu naomba tuwe serious..tubebeni mabango siku za mechi ya kulaani huu ufisadi.
Mpaka nikuulize Mara sita sita ndio unyooshe vizuri maelezo hapo tupo sawa unaambiwa Hospital ya Taifa Jina tu.Mimi nimeongelea upumbavu wa dini na madhara yake nani kakuambia mimi nina dini .... kwa Tanzania uislamu una madhara yake na ujristo hivyo hivyo sababu ni kutokuzijua dini na unafiki wa kidini ....kuhusu madhara ya waislamu wa Tanzania kwenye uongozi yapo dhahiri...sifa ya waislamu viongozi ni kutokujari taifa kutokujari masikini kutokujari wagonjwa (wao ndiyo walio leta mambo ya kulipia hadi maiti muhimbili na kupandisha dharama za matibabu kwenye hospital za serikali sasa hivi kulala kwenye bweni la muhimbili ni ghari kuliko kulala guest House...waislamu ni maadui no 1 wa uzalendo na wazalendo .....ufisadi mkubwa wote Tanzania wahisika wakuu ni waislamu ....ndiyo maana niliwaambia watz kuwa uislamu na ukristo haujaleta faida yoyote nchini gata moja ...ndiyo maana tunapinga mambo ya dini kwenye shule za elimu dunia ziwe za binafsi au serikali...ni upumbavu kuruhuse elimu za dini kwenye shule hizo.
Panahitaji uchunguzi na taarifa za kweli...Haiwesekani 30 billion na hatuoni cha maana kilichofanyikaSalamu kwenu wadau wa mpira.
Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.
Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.
Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion 30! Viongozi wapo.na uwanjani wanaenda na wanaona sawa.
Simba na Yanga zimefukuzwa kutumia uwanja wa mkapa toka 2023 ili kupisha ukarabati ambao ni zero ukiondoa kubadili taa.
Hivi kweli toka 2023 hadi leo 2025? Hii nchi gani hii..
Duration ya miaka miwili inatosha kufanya 100% construction ya kiwanja kipya......sasa kama tumeelezwa uwanja mpya wa Arusha utakamilika 2027 kutoka zero construction sembuse uwanja wa mkapa unaofanyiwa ukarabati pekee.
Hii ni aibu kwa Taifa.fikirieni vp kama uwanja wa Amani ungekuwa haujafanyiwa matengenezo.
Ndugu Washabiki hebu naomba tuwe serious..tubebeni mabango siku za mechi ya kulaani huu ufisadi.