GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Nasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
Kwenye list ya mashabiki halali wewe haupo. Hivyo majibu huwezi kupata maana sio mwanachama mwenye mchango kwenye timuNasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
Naweza kweli kuwa Mshabiki wa Timu iliyojaa Washamba, Vibaka na Wapumbavu kama hiyo? Kesho Final hadi Ubingwa.Kwenye list ya mashabiki halali wewe haupo. Hivyo majibu huwezi kupata maana sio mwanachama mwenye mchango kwenye timu
Nakubaliana na wewe, huyu GENTAMYCINE sio mwenzetu, kwani sijawahi kumuona kwenye zile foleni zetu kwa ajili ya SUPU! Nasi tunasema, hata tusipopatiwa ile ahadi, hatujali, ili mradi tu, asisahau kutupatia SUPU! Na kwa hapa Dar, ni muda mrefu sasa umepita, bila kupata ule uhondo wa SUPU!Kwenye list ya mashabiki halali wewe haupo. Hivyo majibu huwezi kupata maana sio mwanachama mwenye mchango kwenye timu
Subiria matusi toka kwa misukule yake!Nasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
Na hata Wao pia wananijua jinsi nilivyo Kiwanda cha Matusi hayo hayo.Subiria matusi toka kwa misukule yake!
Nawasubiria.....!!!!!!!😂😂😂😂 subiri waje na hasira zao huko
Supu imekwenda na akili za gongo wazi..Nasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
Kupata Supu na kuifunga simba vinatosha , malengo ya kujenga uwanja watakuja kufanya wengineSidhani kama yanakuhusu,sisi supu anayotupa inatosha.
KwikwikwikwiNasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
uto hawajielewiNasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
Selemani wee SeleeeNa hata Wao pia wananijua jinsi nilivyo Kiwanda cha Matusi hayo hayo.
Ungehoji kwanza hili la Kanjibai anavyowafanya mbumbumbu na kucheza na akili zenu.Nawasubiria.....!!!!!!!
Uto huwa hamueleweki. Sasa hoja hapo ni nini? Kwamba kwa kuwa iliwahi kutumia brand hiyo miaka ya nyuma, inashangaza kuitumia tena sasa hivi?Ungehoji kwanza hili la Kanjibai anavyowafanya mbumbumbu na kucheza na akili zenu.
Akili zako umempa Rage? Huoni kuwa mwaka huo mdhamini alikuwa huyo huyo Kanji wa sasa ambaye aliwatafuta hao hao kutengeneza Jersey, sasa huoni connection kwa mlango wa nyuma kati yake na huyu Jayrutty.Uto huwa hamueleweki. Sasa hoja hapo ni nini? Kwamba kwa kuwa iliwahi kutumia brand hiyo miaka ya nyuma, inashangaza kuitumia tena sasa hivi?