Hersi uwanja uliotuahidi kutujengea wakati wa kampeni, umefikia asilimia ngapi?

Hersi uwanja uliotuahidi kutujengea wakati wa kampeni, umefikia asilimia ngapi?

Ingawa mtoa mada ni kijana mwaminifu wa Rage, ila kuna umuhimu wa timu yetu ya Yanga kuwana uwanja wake. Haiwezekani timu inakaribia kutimiza miaka 90 tangu ilipoanziswa, halafu inazidiwa na timu ndogo na changa kama KMC!!

Viongozi wa hizi timu kubwa (Yanga na simba) waache kuzigeuza kuwa madaraja ya kufikia malengo yao ya kisiasa! Na badala yake wangejikita zaidi kwenye kutimiza ahadi zao.
Hakuna jipya Duniani,Yanga sio wa kwanza kutokuwa na Uwanja. Ac Milan na Inter timu zenye historia kubwa Duniani na miaka zaidi ya mia ya uhai but hawana viwanja. Muda na uchumi ukiruhusu Yanga atajenga uwanja wake.
 
Akili zako umempa Rage? Huoni kuwa mwaka huo mdhamini alikuwa huyo huyo Kanji wa sasa ambaye aliwatafuta hao hao kutengeneza Jersey, sasa huoni connection kwa mlango wa nyuma kati yake na huyu Jayrutty.
Ni nyie ambao mnadhani ujio wa JayRutty inaenda kuleta mvutano na mwekezaji wakati huyo mwekezaji amehusika 100% katika maamuzi ya kumleta na hata siyo jambo la ajabu kuona ahadi zake wanashirikiana.

Hivi unadhani JayRutty anaweza kujenga uwanja bila sapoti ya mwekezaji wa sasa wa Simba? Na hapo utakuja na vihoja kama hivi?
 
Back
Top Bottom