Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
Sasa Manager anawahusu nini ? Wamlete Mangungu basiii
Ngungu ni mwenyekiti wa Klabu kubwa zaidi Tanzania taja mwingine Lofa weweSasa Manager anawahusu nini ? Wamlete Mangungu basiii
Hawa wazee ukiwaangalia kwa jicho la kiroho utajua ndio wale walikuwa wamebebwa siku Ile pamoja na mbuzi kwenye basi,,meneja asiwaruhusu kabisa waingie uwanjani kwa sasa wasubili siku wakikabidhiwa uwanja wakaroge vizuri,,inaonekana meneja kawapiga pini kufanya yao mapema sasa wanalazimisha washaona mambo magumuWazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
View attachment 3295606
Ndio maana tumemualika Mwamposa baada ya kuona huku kunashindikana. Hatukumualika kwa sababu ya uchamungu wetu.Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
View attachment 3295606
Meneja alishirikiana na yanga kuhujumu mchezo wa derby. Mechi haikuchezwa sababu ya uchawi uliowekwa uwanjani na yanga kushirikiana na meneja wa uwanja.Meneja sio muajiliwa wa TFF wala Kolo FC,meneja akae pembeni awapishe mnataka kufanya nini?
Mbona hamjiamini, mnataka mzungumze nae kwani nyie ndiye mnamlipa mshahara.Halafu kumbukeni uwanja upo kwenye matengenezo mafundi wapo site wanaendelea na marekebisho, so nyie subirini tarehe tisa saa nne mpewe funguo muendelee na maandalizi.
Kwa hiyo leo tunakubaliana hawakuwa mabaunsa walio wazuia kufanya uwanja,ila ni meneja.Kumbukeni huko hamna kususa, mkisusa mnapigwa ban miaka ya kutosha.
Kwahio hapa tunadhibitisha ya kua kumbe yanga mlishirikiana na meneja wa uwanja na wale wahuni wahalifu wanaojiita makomandoo kuizuia Simba kwenda kuharibu UCHAWI MKALI SANA WA NDAGU uliowekwa na nyinyi ili muifunge Simba?Hawa wazee ukiwaangalia kwa jicho la kiroho utajua ndio wale walikuwa wamebebwa siku Ile pamoja na mbuzi kwenye basi,,meneja asiwaruhusu kabisa waingie uwanjani kwa sasa wasubili siku wakikabidhiwa uwanja wakaroge vizuri,,inaonekana meneja kawapiga pini kufanya yao mapema sasa wanalazimisha washaona mambo magumu
Wanaoharibu mpira ni washirikina watu wa yanga. Acheni ushirikina na kutegemea majini wanywa damu kuwapa matokeo Yale ya timu zilizo juu ya uwezo wenuNiliwahi kusema. Lile sakata la Simba kususia dabi likiendekezwa, kuna siku watakataa marefa kuchezesha mechi yao.
Kuna siku watakataa kucheza na baadhi ya timu
Kuna siku watakataa kucheza kwenye baadhi ya viwanja ambavyo kihistoria haviwapi matokeo mazuri.
Ona sasa wanataka meneja wa uwanja aondolewe. Hawa wakidekezwa wataharibu mpira wetu.
1. Kwa nini hii kauli ya kutofanikiwa isikike na "wazee" wa simba tu? Mbona viongozi hawatoi kauli?Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
View attachment 3295606
Wakati meneja akishiriiana na Yanga ulikuwepo? Meneja muajiliwa wa serikali na jumamosi sio mda wake wa kazi, pili hakuwa na taarifaa hayo mazoezi mngefanya vipi?Meneja alishirikiana na yanga kuhujumu mchezo wa derby. Mechi haikuchezwa sababu ya uchawi uliowekwa uwanjani na yanga kushirikiana na meneja wa uwanja.