DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Wananchi wana haki ya kuandamana kumuondoa Rais wa nchi ndiyo ije kuwa meneja wa uwanja wa mpira unaomilikiwa na umma?Jibu swali langu niondoke, unaunga mkono Wazee wazururaji waliokwenda kumfukuza Meneja wa uwanja usio wao ofisini kwake?
Swali lako halitakiwi kuulizwa na mtu anayejielewa. Nadhani nimekujibu swali lako. Haya ondoka!