Irizar ya Simba itafika lini? Au ndio changa la macho kama la uwanja?

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
34,781
Reaction score
94,550
Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji.

Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu.

Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
 
Subiri na utulize mshono, bado tuna mkataba na M-Bet hadi mwisho wa msimu. Kwa sasa uhoji Jangwani Complex iliyoahidiwa na GCM kupitia mwajiriwa wake
 
Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji.

Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu.

Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
Mbumbu fc bana kweli wenye akili wako wawili tu
 
Huu nao ni uzi wa Kujadiliwa na Great Thinker????

Sasa wewe Umefika hitimisho umesema ni ahadi hewa na bado unahoji ahadi ambazo ni hewa.

Yani unahoji kitu ambacho Ume prove kwamba hakipo na ni Hewa.
:Unahoji porojo.
:Unahoji virtue issue.
:Unahoji ahadi hewa.

Sasa hapo tukusaidie nini wana Jamii Forum.
Ama mimi mwenye akili timamu nikusaidiaje
 
Ngoja tumalizie kubunya 4b za M-bet kwanza mpaka mkataba uishe , ndo irizar Litue pamoja na Mo arena kupigwa majukwaa.

Wakati huo huo nyie uto mnaendelea kupokea 1,500 kwa kila jezi anayouza GSM ,wakati huo huo Ahadi ya uwanja pale Jangwani inaendelea kupigwa danadana.!

GSM anaendelea kula na vipofu ,anapiga taimingi hawagusi mkono. Kama msemo wa Wahenga ukila na kipofu usimguse mkono. Sasa Yanga sio vipofu ni Mazuzu kama alivyosema Manara.!
 
Unadhani irza ni kama bodaboda unaenda kariakoo unanunua
 
Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji.

Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu.

Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
Kama wamedanganywa ni wao sisi tusubiri watakavyo paruana baadaye.
 
Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji.

Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu.

Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
Uto hamnazo katika moja na mbili.
 
Back
Top Bottom