Hivi Simba na Yanga wanashindwa vipi kuwa na uwanja kama huu wa jkt

Hivi Simba na Yanga wanashindwa vipi kuwa na uwanja kama huu wa jkt

Siyo kipaumbele Chao nadhani kuna gharama kubwa za kusajili na kuhudumia wachezaji,(gharama za uendeshaji ni kubwa)
 
Orodha ya timu naarufu duniani zidizo ba uwanja
AC millan
Inter millan
Westham
Man city
Chelsea.
Kaizer Chiefs
 
Ni jambo la kushangaza sana

Wangefanya hata joint operation wajenge pitch nzuri sio kama lile zizi la ng'ombe.
Kuna kitu hatukijui kwa Hawa viongozi tunaowapa maua Kila siku na kuwaimba haiwezekani uwanja huu haushindikani ila dhamira hakuna
 
Siyo kipaumbele Chao nadhani kuna gharama kubwa za kusajili na kuhudumia wachezaji,(gharama za uendeshaji ni kubwa)
Huenda ila tumeona team baadhi zikijabana na kuwa na viwanja vya kawaida ila vizuri eg ule wa ihefu,ule wa mtibwa na Sasa JKt naamini wakiamua wanaweza hatua kwa hatua mi naamini upigaji ni mkubwa sana
 
selikali inawazuia kujenga haitaki wajenge.

Taifa atatumia nani.
Maoato ya uwa ja yatapatikaba wapi.

VIONGOZI WETU WA TAIFA LETU NI WATH3NGE.
Mi nadhani hii ndio huchangia ila hawaisemi maana mechi kama ya Jana lazima Kuna mtu kawaita mafundi site Leo mapema
 
Simba na Yanga ni miongoni mwa klabu maskini zaidi nchini.
 
Nikiangalia huu uwanja ni standard sana japo ni WA kawaida kabisa Sasa hizi team zinashindwa vipi kupata uwanja mzuri kama huu!?
itakua ni hasara kwao kwa sababu idadi ya mashabiki ni wengi, na moja ya mapato ni viingiilio so it makes sense kuendelea kutumia mkapa mpaka pale watakapopata uwanja wao, however tayar kuna uwanja zingine znajengwa arusha na dodoma, it makes sense kupewa izi timu kwan zna uwezo wa kufanya biashara apo
 
Back
Top Bottom