Tunapokuambia ccm wanapora hela kijinga huwa unabisha, sasa angalia aibu ya huo uwanjaMechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope
Sasa wewe unategemea serikali hii ya wezi itafanya jambo uliza zilitumika tsh ngapi kuu maintain uwe hivi unavyoonaMechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope
Masikitiko yaani CCM kila jambo wanashindwa..Mechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope
Aisome kaka yangu gentleman TlaatlaahTunapokuambia ccm wanapora hela kijinga huwa unabisha, sasa angalia aibu ya huo uwanja
Vyoo sheikhMatengezo ya Bil. 30 yalitengenezaga nini?
uwanja wa Lupaso ,Mechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope

Gentleman,Aisome kaka yangu gentleman Tlaatlaah

Matokeo ya kukosa maarifa na matumizi madogo ya akili uwekezaji upo kwenye kushibisha tumbo za walafi hata zitoke billion 1000 bado madosari hayo yatakuwepo na fungu la marekebisho litakosekanaMechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope
Ingekuwa n viongozi kutoka Chadema ungesema ni hali ya hewa imesababisha hayoWahusika wote wa ujenzi akiwemo Waziri Wakamatwe