uwanjani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simba walienda uwanjani kutafuta sababu ya kugoma kucheza, waadhibiwe tu

    Baada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu uwanjani siku ya mechi. Baada ya kutafakari sana wao wenyewe na kuwasiliana na baadhi ya wajumbe...
  2. Zamalek SC yapewa alama 3, Al Ahly hajatokea uwanjani kwenye Cairo derby

    Katika hali isiyo ya Kawaida Club ya soka huko nchini Misri, imetunukiwa Alama 3 na magoli 3 kwa sababu Team ya Al ahly haikutokea uwanjani Club hiyo Yenye mafanikio makubwa barani Afrika imegomea mchezo kwa kigezo kuwa haina Imani na marefa watakaa chezesha. Mtanange huo na kuomba waletwe...
  3. INAARIFIWA: Yanga kwenda Uwanjani 08/03/2025 mechi ilipoahirishwa ni kufuata majini yao na kuondoa uchawi wao.

    Kwanini Yanga walilazimisha kwenda uwanjani hata baada ya mechi kuahirishwa hiyo tarehe 8 Machi 2025? Ilikuwa ni kwenda kuondoka na majini na uchawi wao waliouacha uwanjani. Hakukuwa na namna nyingine ya kuhamisha uchawi wao mara baada ya bodi ya ligi kutangaza mechi haipo. Sasa wanaingiaje...
  4. Kisheria na kikanuni, Yanga pia hawatambuliki kama walikuwepo uwanjani siku ya 08 March, 2025

    Watu wanadai pwenti 3 za bure wakati hata wao hawajafuata taratibu zinazoweza kuwapa nguvu ya kudai hizo pwenti tatu. Tuachilie mbali tukio la kuvunja kanuni kwa kuzuia mpinzani wake asifanye mazoezi na kumfanyia vurugu usiku wa kuamkia mechi husika. Tuachilie mbali kuvunja kanuni kwa kuingia...
  5. Tuisaidie Polisi kuwabaini mabaunsa walioleta vurugu uwanjani

    Kama unajua jina na anapoishi. Huyu anakiri mwenyewe kuwa alishiriki kuwazuia Simba kuingia uwanjani:
  6. Taarifa fupi juu ya kwanini SIMBA walizuiwa kuingia uwanjani -Lupaso

    Alfajiri ya Ijumaa chap , kiongozi mkubwa wa SSC anapokea simu kutoka kwa moja ya chawa wake ndani ya Yangakwenye kamati ya ufundi kuwa kuna aina ya Vitimbi na takataka zimefukiwa pande zote mbili pamoja na sehemu za kupitia.wachezaji , akaainisha maeeneo yote, haya yaliambatana na ushahidi...
  7. M

    TFF, najua Simba itapokwa pointi kwa kutoingiza timu uwanjani na Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia Simba wasifanye maamuzi ila Haji Manara msimuachie

    Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia simba wasifanye mazoezi ila Haji Manara amewadhalilisha sana na...
  8. ZUCHU SIENDI FC Walianza kushangilia sare, wakaja wakaanza kushangilia kufungwa magoli machache leo hii wanashingilia kutokuleta team uwanjani

    Amani kwenu watumishi Walianza kama mzaha mzaha wakaanza kuwa wanashingilia sare, wakatoka hapo wakaanza kushangilia kufungwa magoli machache Leo hii ndo wamefikia kubaya zaid wanashingilia kukimbiza team na kususa na kutokuleta team uwanjani Sio wengine bali ni ZUCHU SIENDI FC LONDON BOY
  9. M

    Hebu angalieni aibu hii, Bodi wameahirisha mechi lkn Yanga wameruhusiwa kupeleka timu uwanjani, very unprofessional

    Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga mageti na kuwajulisha uongozi wa Yanga kuwa mechi haipo na watu warudi majumbani. Kuruhusu Yanga...
  10. Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

    Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni. Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
  11. Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  12. Hatupeleki Timu uwanjani na hakuna kitu mtafanya

    Najua mnajua enyi uto mlichokifanya mlijua fika madhara yake, sasa kama mliadhimia Simba asifanye mazoezi ya mwisho, kwa nini mnalazimisha acheze hivyo hivyo? Au mlijua majini mliyoyazindika uwanjani yangeoneka ( mkajikuta mnavunja miiko ya mganga wenu)? Sisi sio wanyonge kiasi hicho, TFF na...
  13. S

    Alert: Yanga wataenda uwanjani kama kanuni zinavyotaka

  14. D

    Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

    (Kila kinachosikika ni lazima kiletwe humu); Kutoka chanzo muhimu, inasemekana kuwa licha ya barua Yao ya kutoshiriki derby ya Leo, kikosi Cha Simba kitapelekwa uwanjani kama kawaida tayari kwa mechi. Kwa mujibu wa chanzo hiki, Kilichofanyika usiku wa Leo ni milolongo ya hatua za kuwatoa...
  15. Picha: Sababu za kiroho kwa nini Simba wanaogopa kupeleka timu uwanjani

    " Wajomba zangu nisiwafiche, Kwa Yanga hii Simba hamchomoki"
  16. Ukweli usemwe: Simba wamekimbia mechi, hakuna mtu wa Yanga aliwazuia kuingia uwanjani

    Huu ndio ukweli ambao utamuweka kila mtanzania huru. Hakuna kiongozi yoyote wa Yanga aliyezuia Simba kuingia uwanjani. Simba walifika nje ya uwanja wakiwa na mabasi yao mawili moja lina wachezaji na technical bench. Na bus lingiine likiwa na wazee pamoja na wanyama kama mbuzi, kondoo na kuku...
  17. AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

    Habari wakuu, Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje! Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
  18. Oscar Oscar Yanga wanajisevia nini vyumbani? Sababu hakuna Camera Uwanjani.

    Huyu jamaa hivi ana akili kweli? Huwa naona kama ni kilaza sana sielewi amewezaje kuwa naye anamitwa Mcha- Mbuzi.
  19. Klabu mbili za udugu ni pesa udugu wa damu uwanjani tutashudia mechi mbovu kupata kutokea!

    Kichwa cha habari kinajieleza hizi timu mbili ni mke binamu timu moja ipo kuipiga jeki nyingine ili ichukue ubingwa na kupunguza nguvu za timu nyingine timu hiyo ya singida ni godown la yanga kuhifadhia wachezaji na makocha ili wanunuliwe wakiwa tayari mwigulu nchemba ameshawalipia vibali vya...
  20. Tetesi: Burundi, wanaosadikika kuwa wanyarwanda na wa Congo wenye asiri ya kinyarwanda, wakusanywa uwanjani

    https://x.com/bless_link/status/1890707010196586948 Pichani, ni video. Inasemekana watu hao wanapelekwa uwanjani chini ya ulizni wa vyombo vya dola. Msako mkali mjini Bujumbura, unaendelea. Wanaokamatwa, ni wale wenye lafudhi za Kinyamlenge na kinyarwanda, wanaohisiwa kuwa watutsi. Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…