Natumai Amani na utulivu vimetawala katika familia hii.
Katika ugeni wangu, naomba kujiunga nanyi, nami niwe sehemu katika platfom hii muhimu.
Asante.
Naomba kuwasilisha.
"Aish kukaa nje hakulisaidii taifa, kuna michuano mikubwa inakuja kumuweka Aish kikosi B sio vizuri, Aish anaitaji kua langoni sio kwa maslahi yake bali kwamaslahi ya taifa. wakati mwingine taifa linapaswa kuingilia kati mambo kama haya kwa maslahi ya taifa. Kuna wakati wa Brazili walimwambia...
Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani.
Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa.
Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani.
Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na benchi la ufundi waliwasili na costa.
Wanasoka kitaalamu imekaaje hii?
1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid.
Yanga kama kawaida yao...
Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football.
SSC bado wanaamini kwenye political football na traditional ways of doing things , kwa staili hiyo, Yanga...
Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni. Pamoja na upya wa kikosi Simba haijaonesha uhai wowote katika safu ya ushambuliaji, Kabla ya kumtafuta...
Wadau je ni kweli Ali Kamwe alizuiwa kuingia uwanjani siku ya wiki ya Mwananchi kwa shinikizo la watu kadhaa ndani ya Yanga?
Maana ishu hii imekuwa kubwa sana ikizungumzwa naomba tuizungumze pamoja kumuhusu huyu Meneja wa Habari na Mawasiliano Yanga SC Klabu kubwa Afrika kwa sasa.
Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani.
Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko.
Wengine walikuwa na watoto, na wengine wameacha watoto nyumbani.
Watu wametoka Kimara, Kibaha, Tegeta, Chanika...
Kama mjuavyo leo yanga fc watakipiga huko southAfrica.
Na kwa taarifa rasmi zilizotolewa na kiongozi ngazi ya mkoa hapo Arusha ni kuwa gavana wa arusha yupo likizoni akimalizia siku 28 za likizo za mtumishi hukohuko kusini mwa afrika.
Sasa swali ni je ataenda kuwatia moyo wananchi hapo...
Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka.
Nchi imetoka mbali hii.
Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
🔰𝐔𝐏 𝐍𝐄𝐗𝐓🔰
🏆 #MpumalangaCup🇿🇦
⚽️ FC Augsburg🇩🇪🆚Young Africans SC🇹🇿
📆 20.07.2024
🏟 Mbombela Stadium
🕖 15H00🇿🇦 16H00🇹🇿
Kikosi kinachoanza dhidi ya FC Augsburg #preseasontour
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Mpira umeanza
Dakika ya 1
0-0
Dakika ya 3
Augsburg wamekosa goli la wazi
Dakika...
Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan.
Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki.
Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia.
Outtara alikuwa na mwili jumba...
Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu.
Walipoanza tu msimu kila cku zilipokuwa zinakwenda tukaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, mfano Jobe...
Tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita Dunia ilimpoteza kiungo mahiri wa Man City na timu ya Taifa ya Cameroun, Marc-Vivien Foe.
Foe alidondoka uwanjani dakika ya 72 wakati wa mchezo wa Kombe la Mabara, kati ya Cameorun dhidi ya Colombia katika hatia ya nusu fainali ambapo michuano hiyo ilikuwa...
Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city
Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi,
Hii timu tangu msimu unaanza mechi ya kwanza iliingiza wachezaji 8 uwanjani
Hii timu ipigeni kufuri haitakiwi...
Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana lakini akipata watu haonekani, ni mchezaji ambaye ukimwekea watu wenye kazi ya kukaba, humuoni, atabaki kulalamika tu kuwa anachezewa rafu.
Wachezaji watatu niliowashuhudia wakihangaika na Aziz Ki na akashindwa kabisa kufurukuta kwao ni kama ifuatavyo.
1. Kevin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.