Katika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii tabia ili vitendo hivi vipungue viwanjani kwani inatia kinyaa sana,
Wachezaji wenyewe ndio...
Kuna kamati iliundwa kufanya uhamasishaji kwa ajili ya Timu ya Taifa. Uwanja hawana hata ngoma acha gitaa. Hakuna hata mmoja tunamwona uwanjani. Waliounda kamati walilenga michango au walilenga nini? Je fedha walizolipwa zilikuwa za kazi gani? Tukubali maisha yamekuwa deal
Tundu Lissu ni mmoja wa Watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa.
Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu
Akiwa uwanjani ameonekana akivuja jasho kali kwa presha na uchungu kwa timu yetu hadi kufikia...
Hakuna wakati ambao simba inahitaji nguvu ya mashabiki wake kama kesho.
Licha ya miyeyusho ya akina Kajula. Timu ina ceo alafu inaongozwa na kelele zetu. Lakini chonde chonde tusikose kwenda kuangalia mechi hiyo kesho.
Nje ya matatizo ya uongozi ni wakati wa wawashabiki na wachezaji kuungana...
Hizi ni takwimu za Lionel Messi na Haaland kwa msimu uliopita ambapo mmoja wao ataibuka mshindi wa tuzo za Ballon D’or hapo October 30 mwaka huu.
Ungekuwa unapiga kura, kwa takwimu hizo hapo juu ungempa nani kura yako?
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye geti rasmi la wachezaji (kuruka ukuta) na wakaingia uwanjani (pitch) na vyumbani.
Maswali...
Kama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi.
Hizi porojo za kila siku redioni hazina maana na hazotawasaidia kamwe.
Nawarakia kipigo chema cha uhakika na heshima.
Hawa watu naona MUNGU aliwanusuru na kichapo kikali sana, kikosi changu kilikua sawasawa haswa.
Nakumbuka siku iyo nilishiba wali maharage, satisa nanusu alasiri nikawahi siti ya mbele kucheki mechi hii Ya SIMBA vs YANGA pale kwenye banda umiza la diwani.
Michuano ilikua ya kagame na klabu za...
Viongozi lazima wawe siliasi.
Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa timu mara ngapi kaishindwa. Kama wanampenda sana wampe u ceo tu.
Kadena Toka aje kama kocha wa...
Mchambuzi wa Clouds FM Amri Kiemba ameichambua tuzo waliyopata Simba SC siku ya jana , yeye kwa upande wake anaitazama kama tuzo ya watu wanaojaa uwanjani na sio mashabiki bora .
Upi mtazamo wako kwenye hili ____?
Chanzo Clouds Media
https://www.instagram.com/p/CzlOwmVKVCx/
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana Raphael Dwamena amedondoka leo hii ghafla uwanjani na kupoteza maisha, wakati timu take ya KF Egnatia ikicheza dhidi ya Albania ikiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Partizan.
Mchezaji huyo mara baada ya kudondoka alipatiwa huduma ya kwanza uwanjani hapo na...
Nafikiri Sasa jibu limepatikana ya kwamba ukija kucheza na yanga usije kichwa kichwa Kama vile unaenda harusini, unaweza kupigwa kipigo Cha mbwa mwizi kwa maana wanao wachezaji wenye ubora mkubwa sana hasa hasa viungo wao ni hatari kuliko corona!
Simba wameingia kucheza Kama vile wanacheza na...
Nianze kwa kuweka wazi kwamba mimi ni mpenzi wa Simba Sport Club. Lakini mwenenendo wa wachezaji wa Simba hasa wanapokutana na Yanga huwa unakera sana hasa pale unapoona wachezaji wa Simba wakitembea tu bila wasiwasi wowote huku wenzao wa Yanga wakimiliki mpira kwa asilimia kubwa na pale...
Shabiki wa Liverpool amelalamika mtandaoni kwa kitendo cha kuondolewa uwanjani kwa sababu ya kuvaa koti Lenye ujumbe wa "Free Palestine".
Shabiki huyo aliondolewa uwanjani na vyombo vya usalama vilishinikiza avue koti hilo na kutupa bendera ya Palestina kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani...
Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani.
Wewe anakuacha unaendelea kupasha misuli moto. Anasimama tena akimuita mchezaji mwingine atoke. Unakenua meno kuwa sasa ni zamu yako...
Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.
Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
african football league
al ahly
azam
azam tv
baleke
benjamin mkapa
burudani
dukani
football
habari
hovyo
imeisha
kamata
karatasi
kibu
kuelekea
leo.
lupaso
mechi
mechi ya simba
mkapa
mkapa stadium
mtoto
sana
sherehe
simba
stori
uwanjani
wachambuzi
yanga
Yaani hali imekua ya hatari sana maana humo jeshini Urusi kuna wanajeshi wanahujumu moja kwa moja, ndege za kijeshi zilizokua chini ya ulinzi mkali zimetegeshewa mabomu na kulipuliwa uwanjani Moscow.
=========
Defence Intelligence of Ukraine has reported that two Russian aircraft and a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.