Wakuu, mara nyingi tunaongelea suala la kuwa na uwazi lakini pengine bado mahusiano mengi wanaishia migogoro kwasababu wanashindwa kuendana na maana kuu ya huo uwazi.
Unakuta kuna mtu hawezi kumwambia mwenzake labda ananuka kwapa, au ananuka mdomo, anabaki anavumilia tu kimya kimya akiamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.