Kuporwa kwa uwanja wa michezo wa Sahara uliopo kata ya Mabibo, Ubungo—ambalo ni eneo la wazi la umma—ni uthibitisho tosha la jinsi wananchi wanavyokosa watetezi wa haki zao pale CHADEMA wanapokuwa nje ya vyombo vya maamuzi.
Wananchi wa eneo hili sasa wapo hatarini kupoteza kabisa ardhi hii ya...
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), imegoma kuidhinisha mabilioni ya shilingi yaliyolenga kutumika kujenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Serengeti, mkoani Mara, MwanaHALISI limeelezwa.
Vyanzo vya taarifa kutoka wilayani Serengeti na makao makuu ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imekuwa kivutio cha uwekezaji kinachokua kwa kasi zaidi barani Afrika, kwa mwaka 2025 ambapo Hatua madhubuti zimechukuliwa kupitia upya sheria na kanuni ili kuunda mazingira mazuri ya uwekezaji na kuvutia mitaji zaidi.
Rais Samia amayasema hayo katika...
Kuanzia tarehe mosi Desemba, China itasamehe ushuru wa forodha kwa bidhaa zote za nchi zilizoko nyuma kimaendeleo zaidi duniani ambazo zimeanzisha uhusiano wa kibalozi na China. Hapo awali, China imetekeleza orodha mpya hasi kwa uwekezaji wa kigeni katika sekta za utengenezaji kuanzia tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.