Tanzania Na Uwekezaji Kutoka Nje
Katika kipindi cha zaidi ya mwaka cha Serikali ya awamu ya sita, Raisi Samia Suluhu Hassan amekuwa akifanya ziara katika baadhi ya mataifa mbalimbali barani Afrika, Ulaya, Mashariki ya kati, na Marekani. Miongoni mwa nchi alizozizuru ni pamoja na Marekani...