uwekezaji

  1. B

    Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  2. MIMI BABA YENU

    Mafanikio ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ndani ya robo tatu ya mwaka 2022

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kupata mafanikio makubwa katika robo tatu ya mwaka inayoanzia Januari mpaka Machi, 2022 kutokana na ongezeko la usajili wa miradi na kuimarika kwa shughuli za uratibu na utoaji wa huduma kwa wawekezaji kupitia utoaji wa huduma mahala pamoja ndani ya...
  3. Masokotz

    Fahamu kuhusu Uwekezaji katika Kilimo Biashara

    Habari za wakati huu, Leo nimeona nilete mjadala mdogo ndani ya mjadala mkubwa unaohusu sekta ya Kilimo. Kabla ya kuingia katika mjadala niweke wazi kwamba mimi sio mkulima wala sio mfanya biashara inayohusu kilimo.Hata hivyo mimi ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali ya kilimo na Biashara na...
  4. Dit000

    Je, kuna tofauti kati ya bond fund na liquid/ukwasi kwenye uwekezaji wa pamoja (UTT)?

    Habari za usiku ndugu zangu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote mwenye uelewa juu ya uwekezaji katika taasisi ya serikari UTT. Hizi bond fund na liquid/ukwasi zinatofautiana vipi ukiwekeza huko hela yako? Na hatifungani za benkii kuu na hizi za UTT zipi ni nzuri zaidi?
  5. N

    Uwekezaji wa kilimo cha mdalasini

    Miche ya mdalasini inauzwa 2600/@ +255762967548 Kampuni ya Nehemia One Co Ltd inajukumu la kufanya wawekezaji kufikia ndoto zao. Kutokana na uzoefu wa soko la MDALASINI ndani na nje ya nchi tumekuletea fursa kwenye upande huu. Uhitaji wa mdalasini unazidi kupanda thamani Hadi kufikia Dola...
  6. N

    Uwekezaji kwenye Mdalasini na upatikanaji miche

    Karibu Nehemia One Pvt Co Ltd. Kampuni yenye wataalamu wenye uzoefu wa masoko na uzalishaji wa mazao ya kilimo. Kampuni inapenda kukukaribisha kwenye fursa ya uzalishaji wa MDALASINI tunazalisha miche ya mdalasini na kuhamasisha watu kupanda zao hili kwasababu tunafahamu soko lake jinsi...
  7. K

    Tuwe makini na uwekezaji wa "Warehousing and Storage" kwenye mafuta

    Watanzania ni lazima tuwe makini sana na uwekezaji kwenye uhifadhi wa mafuta. Kwa historia ya Tanzania ni lazima tuelewe ufisadi mkubwa sana kwenye hii nchi unafanyika kwenye sehemu kuu tatu (1) Bandarini na miradi yake (2) Umeme na mambo yote yanayohusu Tanesco (3) Mafuta Nitaongelea Mafuta...
  8. GENTAMYCINE

    Nini kimesababisha Tajiri wa Simba Dewji awepo Dubai katika Mkutano Mkuu wa Uwekezaji, ila Gharib wa Yanga hata kwa Tochi tu hajaonekana?

    Naona Tajiri Kijana Afrika anang'aa tu Kimataifa kama Klabu yake huko Shirikisho huku Tajiri Uchwara mwingine Yeye akibung'aa bung'aa zake tu Posta, Kigamboni, Turiani na sasa yuko zake Mkolani Buhongwa Mkoani Mwanza akiitafuta Geita. Yaani Wewe Pesa zako za Magumashi ( Janja Janja ) mpaka Uuze...
  9. Lord denning

    Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

    Jamani amkeni amkeni Huko Dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 17 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2...
  10. Aliko Musa

    Huyu Ndiye Anayetakiwa Kumlipa Dalali Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi Na Majengo

    Dalali anatoa huduma ya kuunganisha huduma zinazohusiana na ardhi na majengo kati ya makundi yafuatayo;- ✓ Wapangaji na wenye nyumba. ✓ Wauzaji na wanunuzi. ✓ Watoa mikopo na wapokeaji mikopo ya majengo. Haya ndiyo makundi makuu (3) ambayo huhusika na gharama za kumlipa dalali kwenye...
  11. TODAYS

    Mwanza: Uwekezaji wa hoteli Mkubwa, gharama ndogo

    Hiki chumba kinapatikana ukanda wa maziwa makuu nchini Tanzania pembezoni mwa Ziwa Victoria jijini Mwanza na kinagharimu USD 70 takribani shs za kitanzania 150,000 kwa usiku mmoja tu, room hiyo ni kwa wageni wawili as mke na mume au mtu mmoja. Kulingana na uwekezaji aliofanya huyu mtu nahakisi...
  12. Jesusie

    Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi tano kinara kwa uwekezaji Afrika 2022

    Five African countries for investors to watch in 2022 Investment Monitor's African investor guides identify the five countries on the continent that look set for stellar years in 2022 for FDI. tment Monitor‘s Africa investor guides, covering the north, east, west, centre and southof the...
  13. M

    Uwekezaji gani utalipa sana Tanzania?

    Kama na wadau wengine walivyoeleza idadi ya watu kwa Tanzania inakua kwa kasi sana wakati ardhi iko fixed hivyo basi kupelekea thamani ya ardhi kupanda kila uchao. Kwa maoni Yangu na analysis zangu badala ya MTU kuwekeza kwenye bond ni bora zaidi na faida kuwekeza kwenye ardhi au Real Estate...
  14. Aliko Musa

    Hali ya uwekezaji kwenye nyumba za kuhamishika katika mji wa Tukuyu, jijini Mbeya Tanzania

    Nyumba za kuhamishika zimekuwa zikitumika kwa ajili ya makazi na biashara. Lakini kwa mazingira ya kwetu Tanzania nitakushirikisha zaidi kuhusu fremu za biashara. Hii ni kwa sababu karibu nyumba zote za kuhamishika hutumika kwa ajili ya biashara tofauti tofauti. Sababu za kumiliki nyumba za...
  15. Aliko Musa

    Anzia hapa Ili kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na majengo

    Kila eneo kwenye maisha hutegemea sana kitu hiki ili uweze kujenga mafanikio makubwa sana na ya kudumu. Kitu chenyewe ni mtazamo wako. Huu ndio msingi wa kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ukiwa na mtazamo hasi, utakuwa unashindwa kila wakati mpaka ukate...
  16. peno hasegawa

    Daraja la Kigamboni lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo utamalizika lini?

    Daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo huo utamalizika lini Ili daraja hilo Watanzania waweze kulitumia bila kulipa tozo kama daraja la Tanzanite?
  17. N

    Wizara ya Uwekezaji ni balaa sijui kama itakuja kusimama

    Ninakumbuka Waziri Angela Kairuki alivyopewa tu Wizara hii basi huyo akachikichia shimoni kutoka siasani. Wizara hii wakati huo ikiwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Mara baada ya Kairuki kuchikichishwa shimoni ikaonakena kuboresha mambo ya uwekezaji Wiazara hiyo ikavutwa kwa Mh. Rais mwenyewe...
  18. Michael Andrew Jr

    Tupo tayari kuisaidia nchi yetu kukuza uwekezaji kutoka nje (foreign direct investiment)

    Habari wakuu, katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha tunakuza soko la uwekezaji nchini Tanzania, sisi vijana kupitia kampuni yetu ya BlU company ltd tunaongeza 'ubunifu' na maarifa katika nyanja mbali mbali lengo likiwa ni kumpunguzia muda na gharama mwekezaji kwa kiasi kikubwa...
  19. T

    Ningekuwa kiongozi mkubwa, leo hii serikali ya mkoa wa Kilimanjaro na baadhi ya idara wangepata misukosuko isiyosahaulika

    Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000. Napata tabu sana kuelewa...
  20. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA kama wapinzani tumekosa future plans na uwekezaji. Tuna viongozi ambao hawana uwezo wala maono

    Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa. Tuna vijana na wanachama ambao wanadhania siasa ni ushabiki na kuropoka hovyo. Wao ni kuishi...
Back
Top Bottom