uwekezaji

  1. Cainan

    Fursa za uwekezaji nchi wanachama wa Afrika Mashariki

    Habarini Wana EAC Mimi nmekuwa msomaji wa mada nyingi sana ambazo zimekuwa zikianzishwa katika section ya forum hii Kikubwa zaidi nilicho observe ni mashindano. Tz vs Kenya nyingi mno katika aspect tofauti ila kwa watu wapenda fursa au exposure katika eneo letu la East Africa kama vijana wenye...
  2. CM 1774858

    Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

    Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho "Hakuna kama Samia " Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na...
  3. muafi

    SoC01 Njia Pekee ya Kuelekea mafanikio ni kufanya uwekezaji mkubwa katika ubongo wako vijana soma hii!

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! Kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  4. muafi

    SoC01 Njia pekee ya kuelekea Mafanikio ni kufanya uwekezaji katika Ubongo wako Vijana

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  5. H

    SoC01 Utawala Bora ni nyenzo muhimu katika kukuza Uchumi na Uwekezaji

    UTAWALA BORA NI KICHOCHEO MUHIMU KATIKA KUKUZA UCHUMI NA KUVUTIA UWEKEZAJI Utangulizi. Nianze Makala haya Kwa kutoa tafsiri/maana ya utawala Bora ambao naumaanisha katika makala yangu hii ya Leo . Utawala Bora ni uendeshaji wa Serikali au taasisi unaofuata misingi ya...
  6. Granter

    Ufadhili wa kilimo na fursa ya uwekezaji katika kilimo cha pilipili kichaa

    Taswe.or.tz, vegrab.co.tz na wadau wengine muhimu tulipitisha mradi wa kuwawezesha wawekezaji katika mradi wa pilipili kichaa kwa 50%. Unachotakiwa ni kuchangia 4.2M/Acre kisha utaweza kupata huduma zifuatazo: 1. Shamba kwa muda wa miaka mitatu 2. Kufyeka shamba 3. Kung'oa visiki 4. Kulima...
  7. Sky Eclat

    Uwekezaji wa nyumba za biashara unahitaji mipango ya muda mfupi na muda mrefu

    Mipango ya muda mrefu inahusu kufanya uwekezaji mkubwa. Tunaongelea nyumba zaidi ya 100 za kupangisha. Hii ni biashara watakayorithi watoto wako na wajukuu wako. Katika mipango hii nunua viwanja hata vikiwa mbali na mji, mji ukipanuka ardhi itaongezeka thamani. Kwa wale waliopata kiinua...
  8. Dit000

    Uwekezaji hati fungani BOT

    Habari ndugu zangu naomba wanauchumi wanisaidie vitu hivi Nimejalibu kupitia bond investment calculator ya BOT, nimejalibu kuweka tsh mil 500,000,000 kwa muda wa miaka 25 na nikabofya calculate nimeletewa kama picha inavyooenesha, sasa hio faida ya kila mwaka wameipata kwa kuzingatia bid ya...
  9. CM 1774858

    Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

    Wanasalimu kwa Jina la JMT, Siku njema huonekana asubuhi, Hatimaye Rais Samia Suluhu Hasaan ameiingiza nchi yetu kwenye nchi Tano zenye mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Africa. Sasa Tanzania tutashuhudia wawekezaji wakimiminika nchini kwetu na kwahakika Vijana wetu watapata ajira na...
  10. Chee4

    Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
  11. Stephano Mgendanyi

    Singida: DC Iramba apongeza utengaji wa maeneo ya uwekezaji

    MHE MWENDA AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO, APONGEZA UTENGAJI WA MAENEO YA UWEKEZAJI Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameupongeza uongozi wa kata ya Ulemo kwa kutenga maeneo ya uwekezaji. Mhe Mwenda ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya...
  12. eliakeem

    Tanzania Yaibuka Kinara wa Uwekezaji EAC Yote. Yasweka Kibindoni Dola Bilioni 1

    Tanzania kinara uwekezaji EAC kwa dola bil. 1 TANZANIA imezipiku nchi zote za Afrika Mashariki kwa kupata uwekezaji mkubwa wa Dola bilioni 1.0, kwa mujibu wa taarifa ya uwekezaji ya kidunia iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuendeleza Biashara Sawia Kimataifa (UNCTAD). Kwa mujibu...
  13. Ramon Abbas

    Plot4Sale Wahi shamba la uwekezaji Morogoro: Ekari 49 zinauzwa kwa bei poa

    Shamba limelimwa mara mbili ni safi hati ipo ya kimila. kila eka ni laki 5 na nusu MAELEZO YA SHAMBA wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar Masaa ma4, kushoto matombo mkuyuni morogoro masaa 2,kulia dutumi kisaki stiglas masaa 2 lina hati ya kimila...
  14. Abdul Ghafur

    Siasa za uwekezaji na uwezeshaji, tofauti na uhalisia wake

    Baada ya kuwa msomaji na mfuatailiaji na mchangiaji mzuri sana wa Jamii Forums kwa muda mrefu, ingawa uchangiaji wangu hapa JF umejikita katika mambo ya biashara, ujasiriamali na mengineyo machache, leo nimeona nitoe dukuduku langu kwa uchache kwenye siasa. Lakini mada yangu hii ya siasa...
  15. L

    China yachukua hatua mpya kuchochea uwekezaji wa kigeni

    Na Ronald Mutie Wawekezaji wa kigeni wanaweza kunufaika na fursa mpya za kuingia kwenye soko la China, baada ya serikali kuchukua hatua maalum za kupunguza masharti hasi-maarufu kama orodha hasi. Hatua hizo mpya zinalenga kuimarisha biashara kati ya China na nchi mbalimbali na zilianzishwa...
  16. V

    SoC01 Uwekezaji wa Vijiji vya kisasa katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja

    Utangulizi Tanzania kiuhalisia bado ni nchi ambayo inategemea uchumi wake kukua kupitia vijiji vyake ambavyo shughuli za watu wake wengi hutegemea kilimo. Mbali na kutegemea kilimo zaidi na shughuli zingine, lakini bado vijiji vingine viko nyuma zaidi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na...
  17. Shujaa Mwendazake

    Uwekezaji Simba: Wako wapi wawekezaji wengine wawili waliotajwa kwenye kanuni za Tume ya Ushindani?

    Tatizo la huu mjadala yeyote anayehoji kuhusu Mambo ya kimkataba anaonekani ni Chura au utopolo na kuzimwa ghafla. Wanasimba tumeamua kutia Pamba masikioni kama tuko kwenye honeymoon tukifurahia mahusiano. What about the Dark days? Tuliambiwa katika kanuni za huu mchakato wa uwekezaji wa Klabu...
  18. Cvez

    Yanga wapo busy kujadili uwekezaji wa MO halafu msimu ukianza wanaanza kulalamikia TFF

    Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua uwekezaji wa MO na kuuona ni upigaji. By the way kipindi ambacho Yanga wanafuraha ni kipindi hiki cha...
  19. kavulata

    Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

    Binafsi nilimsikiliza Mohamed Dewji kuhusu utoaji wa 20 billion za hisa 49%. Huyu Bwana anaonekana anatoa hela lakini ananung'unika na kulalama kama vile mtu anaelazimishwa. Anataka aonewe huruma na watu wasihoji chochote kwakuwa anatoa pesa. Yaani asiwepo mtu anayehoji kwakuwa timu inaleta...
  20. Renald Gasper

    Weka pesa yako kwenye matumizi

    Habari zenu wote, naitwa Rey. Dhumuni la post hii ni kutoa nafasi kwa watu au kundi au kampuni kuweza kuweka pesa yao katika mzunguko wa biashara na in return, kupata pesa yao na some %in cash. THE PROJECT • Project inahusiana na Media marketing, ambayo kwa sasa mambo mengi yanafanyika...
Back
Top Bottom