Habari zenu viongozi, nina shida moja kwa wale ambao wanajua vizuri kuhusu swala la upigaji picha na vit vingine kam hivyo, naomben mnisaidie hata wa ushauri tu.
Nilikiwa nina wazo la kuinvest katika upigaji picha chuoni, naomba mnisaidie vifaa vya msingi kuwa navyo ni vipi na bei zake...