Habari wana JF,
Kuna hii idea ningependa kujua moja mbili tatu. Natumaini itasaidia wengi humu.
Kufanya uwekezaji katika kilimo cha mpunga kwa kununua ardhi, kuanza kulima, kufanya umwagiliaji, kuvuna, kuhifadhi, kuwauzia wateja wa jumla wataokuja shambani kwako na wewe mwenyewe kusambaza...