Maonesho ya biashara ya Utalii (COTTM) yamemalizika hivi karibuni mjini Beijing, China.
Maonesho haya yaliyofunguliwa tarehe 16 na kuendelea hadi tarehe 18 mwezi wa 10, yalitoa jukwaa muhimu la kufanya biashara ya utalii nje ya China kwa kutoa fursa za uwezekezaji na soko la watalii wa China...
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali inaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya Sekta ya Nishati nchini ili kuwezesha wananchi kufikiwa na huduma stahiki bila kujali umbali na vipato vyao.
Dkt. Mataragio ameyaeleza hayo jijini Dar...
Habari, nimeona taarifa nyingi sana na watu kujiunga katika uwekezaji wa kampuni inayoitwa F.I.C football Club Investments.
Je, ni sehemu sahihi au ndo Kalynda mpya na Mr. Kuku Tena!
Tanga.
Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni.
Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1914 ili kukidhi mahitaji ya kibiashara na kilimo kaskazini mwa Tanzania.
Bandari hii...
Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.
Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
Bwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu ya bwawa la Nyerere kuanza au kukamilika?
Bandari ya Dar es salaam imemeza mabilioni ya pesa za...
Kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano kati ya China na Afrika, katika miaka ya karibuni, uwekezaji wa China umeendelea kuongezeka barani Afrika. Hivi karibuni serikali ya China ilitoa taarifa inayosema kwamba uwekezaji wa China barani Afrika mwaka 2023 ulikuwa dola za kimarekani bilioni 3.96...
Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.
Timu kama
Mashujaa Fc
Pamba
Prison
Jkt
Singida black stars
Fountain gate
Tabora Fc
Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
Thamani ya uwekezaji nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 60 hadi kufikia thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.6.
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema thamani ya miradi ya uwekezaji imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 hadi kufikia dola bilioni 1.61 katika robo iliyoishia Juni...
Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA
Kwa haraka haraka naona kama kazi za hawa watu nyingi ni za administration / Usimamizi (Hivyo wanaweza wakasimamia kwa uchache au...
Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000
Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)
Hesabu ya siku – elf 10
Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000
Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000
Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
Wakuu,
Katika Mkutano leo Rais Samia amejitapa kuwa nchi ipo salama, lakini pia utalii na uwekezaji unaongezeka. Kwa matukio yanayoendelea ni kweli kuna usalama? Wewe jibu unalo lakini pia watanzania majibu wanayo.
Mnapoingia chaka ni kudhani matukio haya yanaathiri tu wananchi wa wachache...
Nimefanikiwa kupata ardhi yenye ukubwa wa ekari 200. Ni eneo ambalo bado ni pori. Huenda halijawahi kulimwa tokea liwepo, pengine.
Kwa kuwa ni eneo kubwa, ninakusudia kulifanyia kazi taratibu, kwa kadiri nitakavyokuwa nikipata nguvu (kifedha).
Kwa kuwa eneo lina miti mingi, nitafanya utaratibu...
Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo
Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta.
Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Fatma Toufiq amepongeza uwekezaji uliofanywa katika kiwanda cha sukari cha Mkulazi.
Mhe. Fatma ametoa pongezi hizo katika ziara ya kamati hiyo ya kukagua maendeleo ya kiwanda hicho kilichojengwa na Shirika la Hifadhi...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa uhakika.
Kauli mbiu yetu kwenye NGUVU YA BUKU, ambayo pia ndiyo imani yetu ni KILA MTU ANAWEZA KUWA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 3, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping katika Ukumbi wa The Great Hall of the People.
Katika mazungumzo yao, Rais Dkt. Samia amesema uhusiano wa nchi hizo mbili ni...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania.
Mavunde ameyasema hayo leo Bali, Indonesia wakati wa majadiliano juu ya manufaa ya Madini Mkakati katika...
Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika...
Rafiki yangu mpendwa,
Njia bora kabisa ya kujifunza kwenye maisha ni kutoka kwa wale waliofanikiwa kwenye kitu hicho.
Inapokuja kwenye uwekezaji, Warren Buffet, bilionea na mwekezaji ambaye amekuwa na mafanikio makubwa kwa zaidi ya miaka 70 akiwa mwekezaji, ni mtu sahihi wa kumsikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.