uwekezaji

  1. C

    Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

    Maisha ya utumishi ni mafupi hivyo ni heri kujiandaa na maisha ya kustaafu mapema. Kipato vya wafanyakazi wengi ni kidogo sana hivyo kuna ulazima kuwa na kipato cha ziada. Changamoto ya wafanyakazi wengi ni muda wa kufanya biashara na projects kama kilimo na ufugaji haupo na risk ya kupoteza...
  2. L

    CPC na CCM vyaboresha uhusiano wao kutoka wa kirafiki na kindugu hadi kuwa msingi imara wa kukuza fursa za kiuchumi na uwekezaji

    Tangu ufanyike mkutano wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti ikiongozwa na Xi Jinping, imekuwa ikitoa mawazo mapya, mitazamo mipya na hatua mpya za kuongoza kazi ya kimataifa ya Chama. Chama cha CPC pia kimefanya ujenzi wa Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja...
  3. Replica

    Timu ya benki ya uwekezaji Ulaya(EIB Global) kutembelea Tanzania, kukutana na Rais Samia na viongozi waandamizi. Ni mkopeshaji mkuu EU

    Kundi la maafisa wa juu kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya, likiongozwa na Makamu wa Rais Thomas Östros, linatembelea Tanzania kuongeza uwekezaji wao nchini. Wakati wa ziara hiyo, watakutana na Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, na maafisa wengine wa serikali...
  4. DANIEL W LAIZER

    SoC04 Uwekezaji katika tasnia ya filamu na michezo ya kuigiza nchini Tanzania

    UTANGULIZI Miaka 15 iliyopita tulikumbana na wimbi kubwa la kushuka kwa tasnia ya filamu na michezo ya kuigiza hapa nchini Tanzania,sababu kubwa hasa ilikuwa  Ni mabadiliko ya kiteknolojia ya namna ya uwasilishaji wa filamu na michezo ya kuigiza kwa jamii na hivyo kunifanya kupoteza mwelekeona...
  5. JOVITUS KAMUGISHA

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuinua Biashara na Uwekezaji kwa Mustakabali Endelevu

    Utangulizi: Tanzania inakabiliwa na fursa kubwa ya kuboresha biashara na uwekezaji, hususan katika sekta za madini na miundombinu. Makampuni makubwa ya kimataifa kama vile Rio Tinto, BHP, na Vale yameonyesha nia kubwa katika sekta ya madini, huku miradi mikubwa kama Reli ya Kisasa (SGR) ikipata...
  6. Ladder 49

    SoC04 Uwekezaji katika Data na statistics kwa mustakabali wauku ajiwa wa Ajira na Uchumi kupitia mchezo wa mpira wa miguu ligi Tanzani bara

    Ni wazi mpira wetu wa miguu Tanzania bara kwa sasa umekuwa, lakini kukuwa bila ya ongezeko la usajiri kwa wachezaji wazawa nje na ndani ya nchi ni kazi bure. Maana haitasaidia kwenye ongezeko la ajira kwa vijana na ukuaji kiuchumi ,bali kumnufaisha tu mmiliki wa timu. Kuwekeza kwenye Data na...
  7. Ojuolegbha

    DED wa Bagamoyo atoa fursa ya uwekezaj katika ufugaji wa jongoo bahari

    NJOONI MUWEKEZE UFUGAJI WA MAJONGOO - DED BAGAMOYO MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda, ametoa fursa kwa wawekezaji nchini kujitokeza kwa wingi kuja kuwekeza katika ufugaji wa Majongoo bahari. Wito huo ameutoa Juni 20 mwaka huu wakati akizungumza na...
  8. Pfizer

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu (15th International Infrastructure Investment and Construction Forum and Expo) linalofanyika tarehe 19-21 Juni, 2024, Macao SAR, China. Waziri Aweso ni moja wa waalikwa kati ya Mawaziri...
  9. MAMESHO

    SoC04 Mambo tisa muhimu kwa Tanzania niitakayo

    Ili tuweze Kufikia malengo tunahitaji kuwa na juhudi, tuweze kuvuka vikwazo na kukamilisha mipango sahihi. Viongozi wetu waonyeshe dira, pamoja tufanye kazi, tuweze kuzalisha ili tufikie maendeleo. Kuweza kujenga jamii yenye heshima kuna mambo ya msingi ambayo tunapaswa kuzingatia. Tanzania ya...
  10. J

    SoC04 Uwekezaji Katika Teknolojia ya Hali ya Juu Kwa Mustakabali wa Ajira na Uchumi

    TANZANIA TUITAKAYO: KUWEKEZA KATIKA TEKNOLOJIA YA HALI YA JUU KWA MUSTAKABALI WA TAIFA Utangulizi Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia ya hali ya juu imekuwa msingi wa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Teknolojia kama vile mtandao wa 5G, viwanda vya kisasa (smart factories), na mifumo ya kisasa...
  11. king kibimbika

    SoC04 Uwekezaji thabiti kuendana na hali halisi

    Dunia inakua kwa kasi na mabdiliko mengi yanatokea katika nyanja mbali mbali, nasi kama Tanzania tunahitaji UWEKEZAJI katika baadhi ya sekta ili tuweze kuendana na kas ya mabdiliko, kwa upande wangu, naona UWEKEZAJI ufanyike kama ifuatavyo:- Cryptocurrency and bonding Hii biashara mpya na watu...
  12. K

    Uwekezaji NSSF & PSSSF kwangu naona ni upigaji tu!

    Nakumbuka huko nyuma viongozi wa haya mashirika walikuwa na pesa kama wafanyabiashara wakubwa kwasababu ya miradi ya deal. Hebu Watanzania jiulizeni kitu kimoja Bondi za serikali kwa miaka zaidi ya 20 sasa zinalipa 12%-16% kuna sababu gani sherika likachukuwa pesa na kwenda kuwekeza kwenye...
  13. W

    SoC04 Tanzania ibadili mfumo wa siasa ili kuchochea maendeleo

    Nadhani ili taifa liweze kuendelea na kupambana na matatizo ya kiuchumi nilazima mfumo wa utawala ubadilike. Kwanza idadi ya vyama vya siasa ipungue Pili iundwee selikali ya kitaifa ambayo vyama vyote vitakuwa na nafasi serikalini. Hii italeta ushindani na uwajibikaji wenye tija zaidi. Tatu...
  14. M

    SoC04 Dira ya Udhibiti Endelevu wa Kitaifa wa Uwekezaji Muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari ya kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali, zikiwemo nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiteknolojia. Mabadiliko haya chanya yametokana na hatua za makusudi zinazolenga kuimarisha maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hata hivyo, njia...
  15. Yoda

    Huyu ndiye Naibu Waziri wa Mipango na uwekezaji!

    Je huyu ataaminika na wawekezaji? PIA SOMA - Breaking News: - Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
  16. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu asema uwekezaji wa kweli katika Nishati ni kuwekeza katika Nishati safi ya kupikia Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiambia Dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Korea na Afrika unaofanyika Seoul, Korea...
  17. Roving Journalist

    Dkt. Joseph Mhagama: Hatutaki aina ya uwekezaji ambao watawanyonya Watanzania

    Mbunge wa Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama mechangia hoja Bungeni kuhusu Sekta ya Utalii akitolea mfano wa Jimbo la Madaba. Amesema kuna fursa ya uwekezaji wa mafao ya misitu, ambapo kuna ardhi iliyopandwa miti zaidi ya ekari 100,000. Ameeleza kuna mpango maalum wa kupata ongezeko la viwanda...
  18. Mpishimzoefu

    SoC04 Mfuko wa uwekezaji wa pamoja (UTT AMIS) uunganishwe na mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwakwamua Watumishi wa Umma

    Watumishi wa Umma wamekuwa wakipitia changamoto za kifedha kwasababu ya kukosa kipato Cha ziada,Iwapo mifuko hii itaunganishwa changamoto hii inaweza kupungua. Kwanza nianze na kueleza maana ya mifuko hii 1. NSSF Ni mfuko wa hifadhi ya jamii ambao unamsaidia mfanyakazi wa Umma au Taasisi...
  19. Ojuolegbha

    Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar

    Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty...
  20. Friedrich Nietzsche

    Uwekezaji gani una almost Zero management?

    Natafuta wazo la biashara ambalo lina almost Zero management. Kama mjuavyo biashara au uwekezaji unahitaji management la sivyo hasara utakula mchana. Katika fikiria fikiri nimeona BIASHARA YA KUKOPESHA WATUMISHI AU WAFANYAKAZI halafu hela inakatwa moja kwa moja bila kusumbuana marejesho ni...
Back
Top Bottom