Mada hapo juu yahusika.
Upo kwenye 40s, hakuna nyumba, hakuna gari, hakuna shamba lililosimama, miradi imeanguka.
Ukiangalia salary slip, viraka kibao mpaka haishoneki tena, taasisi zinakimbizana kuchuma.
Mpaka kiraka cha mwisho kinatoka ni miaka kama 6 hivi mbele na hapo, kama kila kitu...