Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani,
Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki,
Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita?
Je, Ni watu wangapi wamezaliwa wakiwa vilema na wengine vipofu huku wakiishi maisha ya maumivu...