uwezo

  1. Sky Eclat

    Mnaonunua viwanja kama uwezo upo nunua kiwanja kinachotosha nyumba ya pili ndogo

    Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo. Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi. Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza...
  2. T

    Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Natabiri ya kuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazua Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili. Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state. Nasali...
  3. Equation x

    Umasikini ni tabia inayotakana na uwezo wako wa kufikiri

    Kama uwezo wako unafikiri kidogo, ata katika kutatua changamoto zako zinazokuzunguka utazitatua kidogo; na hatimaye utakuwa masikini. Kama wewe ni muajiriwa, na umerizika kuwa na chanzo kimoja cha mapato; yaani mshahara, mfano wa laki 5; na unautumia mshahara huo wote na kuishia kwenye matumizi...
  4. Vivax

    Nimepoteza uwezo wa kwenda shuleni kufundisha baada ya nishati ya mafuta kupanda

    Mimi ni mwalimu Kwa kupanda kwa nauli NIMEPOTEZA UWEZO wa kwenda shuleni kufundisha kwa siku mbili. Naomba ushauri. Ufafanuzi:- Nauli ya bajaji ilikuwa sh 500/= kwenda, Na sh 500/= kurudi. Jumla sh 1000/= kwa siku. Sasa nauli mpya ni sh 700/= kwenda, Na sh 700/= kurudi. Jumla sh 1400/=kwa siku...
  5. S

    Watanzania tuna utamaduni gani,mpaka hatuna uwezo wa kujitetea?

    Naandika nikiwa na hasira sana juu ya jinsi mimi na watanzania wenzangu tunavyoishi katika mazingira yetu ya kila siku. Unakuta mtu naporwa simu, au naonewa lakini watu pembeni wamekaa tu hawashughuliki kumsaidia. Raia wote wanaacha jukumu la kujilinda liwe la polisi tu kana kwamba wao...
  6. Cannabis

    Shaffih Dauda: Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli

    Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion...
  7. Valencia_UPV

    Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

    Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga. NB: Nilifunga gesi kwenye Toyota Surf, yaani full majanga
  8. kajekudya

    Ukweli ni kwamba tuna tatizo kubwa sana la uongozi wenye uwezo

    Duniani kote hatua kubwa za kimaendeleo zinaathiriwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa kisiasa. Hawa ndio hutoa maamuzi ya mwisho kuhusu mstakabali wa Taifa. Hivyo tutake tustake lazima viongozi wetu wakuu wa kisiasa wawe akili kubwa, na wawe weledi. Anzia Marekani, njoo Uingereza, pita hapo...
  9. May Day

    Soka la kisasa Mchezaji anathaminishwa kwa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sio Kipaji

    Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka. Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni. Hivyo basi kama...
  10. Suzy Elias

    Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  11. britanicca

    Kijana anayeutaka Urais 2030 na kujiona ana uwezo mkubwa wa kuongoza na pesa, ndiye anayeleta vita ya Mpina na Makamba

    January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030. Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana...
  12. K

    Kwanini huwa tunawapa Uongozi watu ambao hawana uwezo wa kutuongoza?

    Kauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo. Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya Nyerere kweli yupo aliyewahi au atakayekuwepo mwenye uthubutu,au wengi wako kwa ajili ya Maslai ya matumbo...
  13. F

    Ally Hapi: Kinana ni mtu mwenye uwezo mkubwa, uteuzi wake ni sahihi

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma. Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya...
  14. N

    Ukraine na uwezo wa medani waishangaza dunia

    Kufuatia uvumizi wa urusi ndani ya ardhi ya jirani yake ukraine dunia imeshuudia kwa mara nyingine sura halisi ya uzalendo na uwezo wa watu kulinda uhuru wao. Kwa sababu zake mwenyewe wengi walitarajia compaign ya babu putin ingeweza kufanikiwa mapema ikizingatia uwezo wa jeshi lake katika...
Back
Top Bottom