uwezo

  1. D

    Avocado oil press machine

    Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.
  2. S

    Usinunue kiwanja au shamba lenye mbuyu mkubwa kama huna uwezo wa kukabiliana na changamoto zake

    Habari wadau Ukataji wa mibuyu au miti mikubwa umekuwa ikiambatana na changamoto nyingi sana kwa wamiliki na hata kwetu mafundi! Ushauri huu tunautoa kwenu tukitambulika kama (SAMICO) ambao ni jopo la mafundi wazoefu katika sekita ya ujenzi, Umeme na gesi asilia! Unaweza kutufuatilia katika...
  3. R

    NCCR Mageuzi na CCM ndio vyama pekee vyenye Uwezo wa kupewa Nchi, Watanzania msidanganyike

    Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi . Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari...
  4. KENZY

    Rafiki yangu kampa mimba mwanamke mtu mzima

    Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!. Mchizi...
  5. sky soldier

    Wasichana kuwaburuza kaka zao ktk 10 bora za matokeo ya NECTA ni uwezo wao, wanawezeshwa kijinsia au wavulana wamepunguza bidii

    Orodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee 𝐖𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐢 𝟏𝟎 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐤𝐢𝐝𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐚 1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – St. Mary’s Mazinde Juu Tanga. 2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga. 3. Mhewa Charles Kamando (PCB) – Tabora Boys 4. Minaeli...
  6. MimiNiMakini

    Uwezo wa Lily Ommy umeshuka toka aingie Wasafi Media

    "Huyu jamaa anachojua saizi ni kusema "and stuff like that" basi 😁 " Nimekuta caption hii huko twitter, aisee watu wa twitter wamefunguka mambo mengi sana kuhusu Mtangazaji Lil Ommy. Kiufupi Inadaiwa kwamba uwezo wa Lil Ommy tangu aje Wasafi umeshuka sana, Jamaa akiwa Times Fm alikuwa moto...
  7. N

    Watanzania uwezo wao ni kuzungumza watu sio masuala muhimu, tatizo ni nini?

    Ukifuatilia kwa makini mijadala ya vijana wengi kwenye majukwaa makubwa hasa siasa utagundua kuna kitu hakipo sawa ( something amiss ). Katika hali isiyo ya kawaida maoni mengi yamejikita sana kuzungumzia watu badala ya masuala muhimu yanayopaswa kuwekwa wazi. Tatizo hili limezaa machawa...
  8. J

    Hamad Rashid Mohammed: CCM haina uwezo wa kushinda uchaguzi ulio huru Zanzibar

    ..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
  9. peno hasegawa

    Tume ya Madini, Eng. Yahya I. Samamba Acting Executive Secretary amekaimu kwa miaka 3 Hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa nafasi hiyo?

    Tanzania ina Rais wa ajabu sana, Tume ya Madini ni Taasisi muhimu sana nchini , cha ajabu Eng. Yahya I. Samamba Acting Executive Secretary amekaimu nafasi hiyo kwa miaka 3 sasa. Ina maana Tanzania hakuna mtu wa kuweza au mwenye uwezo kusimamia Tume ya madini ? In aibu kubwa sana, hata Prof...
  10. MK254

    NATO yaanza mikakati ya kuweka tayari wanajeshi 300,000 wenye uwezo wa kuitikia wito upesi

    Yaani "NATO Response Force", uwezo wa kuhusisha wanajeshi 300,000 kwenye mapambano ndani ya muda mfupi. Hii ni baada ya kugundua kuwa Urusi ana uwezo mdogo sana kivita, mpaka sasa kainchi kadogo kamemsumbua. === NATO Secretary-General Jens Stoltenberg on Monday said the military alliance is...
  11. Samwel Ngulinzira

    Kero: Tabia ya kurundika/kumiliki vitu vingi kuzidi uwezo wa kuvimudu au kuvitunza

    Habari ya wakati huu wakuu? Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye hii tabia ya watu kupenda kumiliki vitu vingi visivyotumika. Nitavitaja kimoja kimoja lakini sioni mantiki ya wao kufanya hivyo kwa sababu wakati mwingine huishia kutengeneza uchafu. 1. Mabegi/mafurushi makubwa kwenye safari...
  12. frangwi12

    Msomi wa Bachelor of Science with Education, pia nina uwezo wa kutumia kompyuta na nimepitia mafunzo ya JKT

    Naombeni kwa waajiri wowote wanaohitaji kijana mchapa kazi na anayejituma, wanicheki kupitia 0624843841. Nipo Dar, Temeke.
  13. Kijakazi

    Kenya ina uwezo kuitetemesha Tanzania na ikatetemeka?

    Mpaka Bungeni kwetu hata hapa JF Watanzania wanalia kwamba Kenya inahusika na kuingilia mambo yao ya ndani, hilo linasema nini kuhusu nchi ya Kenya kwetu ? Tuseme labda ni kweli Kenya inaingilia mambo ya Tanzania, hii maana yake ni kwamba Kenya ni mkubwa wa Tanzania kwani Tanzania haina uwezo wa...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Je, tatizo ni uwezo mdogo wa VIONGOZI wetu au wameamua tu kuigeuza nchi kuwa shamba la bibi?

    Habari! Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu. Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au...
  15. R

    Utabiri: Tundu Lissu kuwa 'mediator' wa 'Truth and Reconciliation Commitee'. Uwezo wake hauna shaka

    Uwe unampenda au humpendi utakubaliana na mimi kwamba Mh Tundu Lissu ni tunu ta taifa. Sitaki kurudia mambo mengi yaliyopita lakini kwa ufupi ni kuwa yale yoote aliyotuonya wana wa tanzania kuhusu utawala bora na sheria sote tumeshuhudia athari zake. Athari kwa watanzania wote, wenye vyama na...
  16. K

    Je, wachawi wanao uwezo wa kusoma document zetu za siri?

    kwa wale wajuzi wa hii teknolojia ya uchawi je wachawi wanao uwezo wa kupekua documents zetu tunazokuwa tumezihifadhi mfano labda kuna namba za siri za ATM au m-pesa pindi wanapopata access ya kuingia vyumbani kwetu halafu kingine je wanao uwezo wa kusikia lugha za kishule hata kama hawana shule
  17. Pascal Mayalla

    Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni masikini Kwa Umasikini wa files. "Umasikini m-mbaya kabisa ni umasikini wa fikra"-JK Nyerere...
  18. M

    Uwezo mdogo wa kufikilia na tamaa ndio kikwazo kikubwa cha wajenzi wetu

    Mafundi wa Tanzania bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka kwa mafundi wa nje . Mashundi wetu wanapenda sana short cut na kona … ukiwapa mwanya kidogo tu wanakuibia vifaa vya ujenzi , wanajenga kwa kuripua yaani ili mradi tu . Hawana uhadirifu kabisa sasa mtu atafute pesa ya kuwalipa...
  19. Pascal Mayalla

    Je, Kuna Haja ya Kutunga Sera ya CSR za Makampuni ili Ziwe Endelevu? Serikali Yaipongeza TotalEnergies Kwa CSR Endelevu Kuwajengea Uwezo Watanzania

    Wanabodi, Japo nchi yetu ni masikini, nchi wafadhili wa maendeleo waliokuwa wanatusaidia kwa misaada mbalimbali, wao ndio huamua wasaidie nini. Enzi za Mwalimu Nyerere, kuna wakati tulikosana na wafadhali kutokana na kupewa misaada yenye masharti, hivyo Nyerere akakataa, Mwinyi alipoingia...
  20. Numero Uno

    Bernard Morrisson ni mchezaji mwenye kipaji na uwezo mkubwa wa akili

    Kama wewe ni mionhoni mwa watu wanaodhani kuwa BM3 ni mchezaji wa ovyo asiye na akili, basi tambua wewe ndio wa ovyo na usiye na akili mwenye IQ ndogo
Back
Top Bottom