Mnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu.
I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi.
Kwa ambavyo wamemchosha Urusi ni dhahiri NATO wakitia guu pale, Urusi atafutika.
Globalfire
Ndugu Msomaji wa makala za BAKIIF.
Bila shaka unampenda MUNGU Sana, tunaamini hivyo japo hufuati amri zake, lipo kusudi la Mungu kutaka kukusaidia jambo Fulani ikiwa uko tayari katika yote jiepushe na mafundisho yasiyokuwa ya ki-MUNGU.
Siri ni mipango iliyo ndani ya moyo wa mtu juu ya hatima...
Habari wakuu,
Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission.
Kama upo hapa tafadhali niandikie email mlimakilimanjaro@gmail.com au tuwasiliane kwa private message/direct...
Angalieni hii video.
Khaled anaweza hizo gharama za utunzaji, gharama za kupaki? Aah kwanza huko mbali, bei ya hizo ndege ni $100M-200M, eti anataka awe kama Drake!
Drake mwenyewe siamini kama lile dude ni lake, hawa wasanii wana smoking mirrors sana. Unakuta wanaingia mkataba na kampuni...
Wanasayansi huko California Marekani wametemgeneza Digital camera ya ukubwa wa MP 3,200 ambayo ina uwezo aa kuona kale kampira kadogo ka golf kwa uzuri kabisa kakiwa umbali wa kilomita 15 na ushee.
Kamera ina ukubwa sawa na gari ya vitz ama ist.
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika...
Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wote wapya ndani ya Chama na kwamba baada ya Kukamilika kwa Uchaguzi unaondelea kote...
Angalia maajabu ya Samsung Galaxy S22 Ultra.
Kwa teknolojia ya kisasa ya kamera ujue hakuna usiri tena.
Unaweza kufanya jambo ukiamini hakuna anaekuona kumbe mtu yuko kilomita kadhaa anakuangalia tu.
Juzi baada ya Apple kutoa Iphone 14 nikawa naangalia reviews kadhaa online ikiwemo ya...
Ni wiki mbili tu zimepita tangu iOS 16 itoke lakini watumiaji wengi sana wanalalamika kuisha charge haraka na Battery Life inazudi kushuka katika zile asilimia.
Asilimia 63% ya watumiaji wamelalamika Battery kuisha charge haraka na battery life kushuka. Pia ukilinganisha na iOS 15, mfumo wa iOS...
Ni mabadiliko makubwa sana kwa sababu kuanzia iPhone 6s mpaka iPhone 13 zote zinatumia 12MP.
Megapixels 48 ni tofauti na Megapixel 12 kwa sababu MP48 inakusanya details nyingi katika picha na video kuliko 12MP.
Jambo la kuwafahamisha watumiaji wa iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max; picha na...
1. Hayati Baba wa Taifa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
2. Hayati Baba wa Taifa Afrika Kusini Nelson Madiba Mandela
3. Hayati Mkombozi na Baba wa Taifa wa Congo DR (zamani Zaire) Patrice Emelly Lumumba
4. Hayati Baba wa Taifa Ghana Kwame Nkurumah
5. Hayati Rais Benjamin Mkapa
6...
Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma.
Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira.
Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma.
Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
Wazazi wengi wanaumia sana kuona watoto wao hawafanyi vizuri darasani, lakini mbona huku mtaani wakali darasani ni vilaza tunakutana pamoja kwenye kutafuta cash, na mara nyingi tunazidiwa na wale vilaza.
Mimi napenda mtoto awe na uwezo wa kati darasani ili awe na muda wa kujifunza vingi kuliko...
Hadi sasa hakuna mahusiano kati ya uwezo mkubwa darasani na maisha mazuri.
Nilipokuwa shule ya msingi kulikuwa na mabinti watatu pale darasani wenye uwezo mkubwa, wao namba mbili hadi nne, lazima washike wao, cha ajabu ni mmoja tu alifanikiwa kumaliza darasa la saba, wawili walipata mimba...
Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
Naipenda sana jamii yangu
Nilitamani sana kuwa mwenye mchango katika jamii lakini bahati mbaya mpaka naingia utu uzima sikufanikiwa kutoka kimaisha na kuweza kuifanyia jambo la maana. Niliangalia shughuli niifanyayo, kwa mifano hai ya waliotangulia kuifanya kabla yangu, HAKUNA KUTOKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.